Picha na stori za Loliondo- kwa Babu

Picha na stori za Loliondo- kwa Babu

Najaribu kupiga mahesabu ya namna dawa zilizovuviwa na Bwana zinavyoweza kufanya kazi pamoja na dawa za bagamoyo na za mzee yahaya. Nikipata majibu nitayaanika hapa.
 
utakapo kuwa na UKIMWI NDIO utajua babu ni nguvu ya giza au la! kwanza sijui km umepika unaongea km MANIAC fulani hivi.
Nyie ndi viranja wa ufisadi, km huna cha kuongea nyamaza.

Huna ushuhuda wowote ule unaropoka, na nakuombea uukwae ugonjwa ili umtafute babu na hutapona kwa roho yako ya ufisadi. Mkulu wa nchi mwenyewe alishaenda sasa wewe ZUMBUKUKU unaongea utumbo hapa . KBB yako wee. Nakuapia siku moja utamtafuta babu usitafute sifa za kijinga km jamaa zako wa wizara ambao tuna data walishatibiwa na babu au tukuwekee picha ndio uamini ms********zmkubwa wee

Dua la kuku halimpati mwewe wewe acha kutisha watu na maandiko yako ya ajabu mie nakuambieni ukweli na kukuzindueni mnaona nawakera kazi kuamini ushirikina tu huu. This is pure witchcraft mpaka itakapothibitishwa na mkemia na ikajaribiwa na wakemia wengine duniani ndio nitasadikisha inatibu venginevyo hujanidanganya bado na upuuzi huu.
 
@mpasuajipu nini tena hasira? Pole pole mkuu, ujiti na jicho.....
 
Dua la kuku halimpati mwewe wewe acha kutisha watu na maandiko yako ya ajabu mie nakuambieni ukweli na kukuzindueni mnaona nawakera kazi kuamini ushirikina tu huu. This is pure witchcraft mpaka itakapothibitishwa na mkemia na ikajaribiwa na wakemia wengine duniani ndio nitasadikisha inatibu venginevyo hujanidanganya bado na upuuzi huu.

...hao wakemia unaowaamini, waliijua hiyo kemia kutoka kichwani mwako...?
 
Kikubwa na Ushauri wa Bure kwa Serikali na Mamlaka zilizopo ni kumpa BABU ushirikiano wa kutosha, na kuboresha Mazingira na Mahitaji ya Mahali pale, kuimarisha miundo mbinu (barabara), maji safi, ulinzi, malazi etc.
Kwanza Serikali na Mamlaka zote walikuwa wapi muda wote huo, mpaka sasa hivi watoe tamko la kusitisha Huduma yake ???
 
...hao wakemia unaowaamini, waliijua hiyo kemia kutoka kichwani mwako...?

Mimi kama ninayefahamu sheria ni simple wakiniletea dawa mbovu nawafikisha mahakama kudai fidia ya mabilioni kutokana na uzembe. Sifikirii ofisi ya mkemia mkuu itazembea
 
Viongozi wetu ni Pumba sana, jitu linaamka linalopoka km jogoo anayewika sasa unategemea kuna point ya maana hapo?

Ni km jogoo Kokolikooooo! welaaaaaaaaaaa ili mradi kusikika tu.

Thinking capacity iko very minimal!

Vitu vya maana km kutatua kero za wananchi kuhusu maji, umeme shule aaaaaaaaaaaaa,kazi kupiga madawati ya bungeni, teh teh ndio ze honarabo spika tunaunga mkono hoja mia kwa mia , hovyoooooooooooooooooo!

Ikija kwenye ishu za mtu individual kagundua njia ya kuwasaidia wananchi ababanwa. Kisa hakuna sayansi. Je kupiga dawati la bungeni ndio sayansi, km sio ujinga ni nini?

Mie naomba hasira za wa Tz na za babu ziwarudie hawa wanaojitia kiherehere kuzuia dawa ya babu, tena watiwe wendawazimu km wale nguruwe walioingizwa shetani kwakakimbilia bondeni!

Imani ya mtu huwezi kuipima kisayansi hizo ni ndoto za alinacha. nAWAOMBEA TENA WANAOZUIA HII DAWA WAUKWAE UGONJWA KTK PITAPITA YAO ili waje wamkumbuke babu.

badala ya kushughulikia mambo makubwa ya maana eti babuu babuuu, babuuu babuuuu, tamaaa imewajaaa, kazi kubwa ni :blah::blah::blah::blah::blah::blah:
 
..una mapepo wewe! hujui usemalo.
 
Hebu na tuyatafakari maandiko haya matakatifu: Ezek 47:12, Na karibu na mto, juu ya ukingo wake, upande huu na upande huu, utamea kila mti wa chakula, ambao majani yake hayatanyauka, wala matunda yake hayatatindika kamwe; utatoa matunda mapya kila mwezi, kwasababu maji yake yanatoka mahali patakatifu: na matunda yake yatakuwa ni chakula: na majani yake yatakuwa ni dawa. Amen.

Serikali yetu na hasa viongozi wetu ni kama vile wapigwa na MUNGU ili wawe mambumbumbu na waseme maneno na kutoa maaumuzi kama matahira hivi. Ili siku ya mwisho serikali hii ianguke. Kwa mambo yanavyoendeshwa sasa na viongozi wa serikali hii, wasipoamua kwa makusudi kubadilka na kujiuliza ni wapi tumepotoka basi na tutarajie anguko la serikali hii.
 
Dua la kuku halimpati mwewe wewe acha kutisha watu na maandiko yako ya ajabu mie nakuambieni ukweli na kukuzindueni mnaona nawakera kazi kuamini ushirikina tu huu. This is pure witchcraft mpaka itakapothibitishwa na mkemia na ikajaribiwa na wakemia wengine duniani ndio nitasadikisha inatibu venginevyo hujanidanganya bado na upuuzi huu.

Watanzania walio nwengi ni washirikina hamna cha sumbawanga na Tanga, sasa uchawi umechukua nafasi katika nchni hii ndio maana kumbe ndio maana Albino walikuwa wana-uwawa hapa
 
Tatizo SIASA inakula kila Mahali/Idara/Sekta, iwapo wangeweka UZALENDO na UTAIFA NCHI ingeendelea, BABU wa WATU MUNGU amemtuma kuja kuokoa maisha ya WATU wake wao wanamchakachua.
 
Watanzania walio nwengi ni washirikina hamna cha sumbawanga na Tanga, sasa uchawi umechukua nafasi katika nchni hii ndio maana kumbe ndio maana Albino walikuwa wana-uwawa hapa

Mkuu nakuunga mkono asilimia 100 kuwa WATANZANIA WENGI NI WASHIRIKINA sio wakristo wala waislamu wote sawa tu. Wewe unaenda lazima uende loliondo kupata dawa ya kisukari au ukimwi katika karne hii ya 21 jamani duh!!! Halafu tukihoji tunaambiwa tuna mapepo. Sina mapepo wala nini? I am just being a realist.
 
duh! Wamekosea sana aisee, wenyewe wameshapata matibabu sasa wanazunguka wenzao!
 
Siyo mara zote Yesu wala manabii waliponya kwa kusema tu neno kwa mfano Yesu aliwahi mponya mtu kipofu kwa kumpaka tope machoni na kumwambia akanawe then akapona. Pia Nabii Eliya aliwahi mponya mtu anaitwa Naamani kwa kumwambia atumbukie mto yordani mara saba. Je angekuwepo Eliya leo wizara ya afya ingemwambia aache mpaka wakapime active ingredient iliyoko kwenye maji ya mto yordani? au wangemwambia Yesu aache wakapime tope kwanza?.

Dada tofautisha Imani na sayansi na kwa taarifa maabara hawataona hiyo active ingredients unazotaka kuchunguza ili mtengeneze dawa inayofanania muuze kwa bei ya kifisadi.

We subiri ikapimwe wakati watu wameshapona.

...Kasome habari za Naamani jinsi alivyopona ukoma wake,utajua misingi ya uponyaji.. si lazima kuombewa kwa kuwekewa mikono tu!usimfundishe Mungu! ungekuwepo wakati wa Naamani ungesema yale maji ya mto wayapime kitaalam vile yamekuwa dawa ya ukoma wa Naamani!

Wakuu ni Muinjili mmoja tu katika Biblia aliyeandika habari ya Yesu kutumia tope katika kuponya.Muinjili ambaye injili yake iko tofauti sana ukilinganisha na wenzake watatu,utadhani labda alikuwa anamuandika Yesu mwingine au yeye tu ndiye aliyemuona/aliyesimuliwa/aliyesikia habari za Yesu.Injili ambayo kuna bible scholars wengine wanaipiga vita sana.Anyway hii ni topic nyingine lakini ninachotaka kusema ni kwamba:

1.Sidhani kama unaweza kuzilinganisha nguvu za kiutumishi na kiimani na kujitoa na ukaribu na Mungu kati ya Nabii Eliya,Yesu na nyakati zao na Babu Mchungaji wa Loliondo na wakati wa sasa.Maana yangu nini?Imani sasa imekuwa haba sana,si kwa waumini tu,bali pia kwa wachungaji na maaskofu na viongozi wengine wa dini.Wengi wa Viongozi wa dini wamekuwa wasanii tu na waganga njaa.Wanaweza kuhongwa,kurubuniwa na kutumika kwa mashali ya watu fulani.Kifupi;Siamini kwamba huyo babu katokewa na Mungu katika ndoto na hiyo dawa yake inatibu hayo magonjwa aliyoyasema,hivyo ni lazima wataalam wa tiba wam scrutinize.

2.Njia za kutibu zilizotumiwa na Eliya na Yesu(kama ulivyosema) hazina madhara kwa mgonjwa.Mgonjwa akijichofya mtoni mara saba,akitoka,hatadhurika.Lakini mgonjwa akinywa mizizi/majani yasiyoeleweka kwavile ameambiwa ni dawa ya ugonjwa wake,kuna uwezekano haya majani yakaja kumdhuru.Upofu ndiyo final complication ya magonjwa ya macho.Kama Yesu angempaka mgonjwa wa glaucoma kwa mfano,tungeweza assume labda tope lile lingeweza kumsababishia mgonjwa upofu.Lakini hata hivyo Yesu ni Mungu/Nabii kwa wengine,au sivyo?Uwezo wake hauwezi kamwe kufanana na wa Babu Mchungaji wa Loliondo.

3.Nisahihishe kama nakosea.Sijawahi kusoma katika biblia kuwa Yesu na wanafunzi wake,wakina Peter Simon,John,James na hata Paul au Manabii wa kale,kuwa waliwahi kutibu/kuponya ma mia elfu/milioni ya watu waliokuwa wanasumbuliwa na gonjwa fulani sugu dunia yote kwa mpigo.Wenyewe mara nyingi wakiwa katika safari zao za kueneza neno,walikuwa wanaponya wagonjwa mmojammoja/kikundi na wengi walikuwa na homa,vipofu,wenye ukoma na waliopooza/vilema.
Babu wa Loliondo sasa anacheza na maelfu ya wagonjwa tayari na idadi ingeweza kuwa kubwa zaidi.Babu wa Loliondo anacheza na magonjwa ambayo yanaisumbua dunia nzima,magonjwa yanayoua watu wengi duniani.Tuchukulie kuwa inawezekana kweli dawa yake inatibu haya magonjwa.Sasa kuna ubaya gani,wataalam wakiitafiti dawa yake na kuiweka kisasa,ili ijulikane duniani na kusaidia wengi zaidi?Manake kwa ilivyo sasa,sidhani kama inaweza kukubalika na kupata soko hasa kwa wenzetu walioweka mbele sayansi na utafiti.
Nadhani angefaidika zaidi au?
 
Hapo Penye red mkuu,nahisi umesahau verse zingine za bible Yesu anaposema mkiwa na Imani mtafanya mambo makubwa kuliko haya' (yaani miujiza aliokuwa akiifanya" Remember what makes a miracle is not some one's capacity rather a Super natural power "Spirit powe" ya huyo anae ruhusu muujiza huo utokee. The only difference i can see is, watu mnataka kutumia uwelewa wenu wa darasani ku justfy utendaji kazi wa kiroho wa either Mungu ama kinyume chake. "Simple and clear,kwa nini Mungu aliwaambia wai srael jangwani kuwa wakitazama ile sanamu ya nyoka wangepona??" Wengi walipona na wengine kufa kwa sababu ya ubishi. There is nothing wrong mtu kunywa kitu akapona hata kama hakileweki kinafanya kazi vp.Kumbuka Paul mtume alimwandikia timotheo akimwambia atumie mvinyo kidogo kama dawa,sasa sema babu angesema mtu anywe pombe si mngesema mpaka basi??? Ukweli ni kuwa Uelewa huu wa darasani unatupa mwanga kwa ajili ya mambo ya kidunia tu,Na ndio Maana yesu ama Mtume Muhamad( kwa waislam) hawakuwa wasomi wa juu miongoni mwa jamii zao.Let us not be too judgemental. mi ni hayo tu
 
Viongozi wetu ni Pumba sana, jitu linaamka linalopoka km jogoo anayewika sasa unategemea kuna point ya maana hapo?

Ni km jogoo Kokolikooooo! welaaaaaaaaaaa ili mradi kusikika tu.

Thinking capacity iko very minimal!

Vitu vya maana km kutatua kero za wananchi kuhusu maji, umeme shule aaaaaaaaaaaaa,kazi kupiga madawati ya bungeni, teh teh ndio ze honarabo spika tunaunga mkono hoja mia kwa mia , hovyoooooooooooooooooo!

Ikija kwenye ishu za mtu individual kagundua njia ya kuwasaidia wananchi ababanwa. Kisa hakuna sayansi. Je kupiga dawati la bungeni ndio sayansi, km sio ujinga ni nini?

Mie naomba hasira za wa Tz na za babu ziwarudie hawa wanaojitia kiherehere kuzuia dawa ya babu, tena watiwe wendawazimu km wale nguruwe walioingizwa shetani kwakakimbilia bondeni!

Imani ya mtu huwezi kuipima kisayansi hizo ni ndoto za alinacha. nAWAOMBEA TENA WANAOZUIA HII DAWA WAUKWAE UGONJWA KTK PITAPITA YAO ili waje wamkumbuke babu.

badala ya kushughulikia mambo makubwa ya maana eti babuu babuuu, babuuu babuuuu, tamaaa imewajaaa, kazi kubwa ni :blah::blah::blah::blah::blah::blah:

Crap bin Pumba hizi mara sijui viongozi hawashughulikii shida za wananchi wakati thread ni dawa ya babu wa loliondo na legitimacy yake. Mara tutakuwa machizi na vichaa utafikiri wewe ndio mungu uliyetuumba wakati sie wengine tunakuzibua masikio na macho ujue kuwa huo ni ushirikina tu hakuna zaidi. Ndio tunataka tafiti za kisayansi na sio babu sangoma analeta mauza uza yake tuende kunywa tu tukidhurika je ....
 
Back
Top Bottom