Picha na stori za Loliondo- kwa Babu

Picha na stori za Loliondo- kwa Babu

Hapa sasa kuna contradiction wakuu. Tiba inahusiana na imani au ndio mnatafuta lawama? Hivi zile dawa za kichocho, malaria na kifafa ni imani au scientific research? Sasa huyo babu wa loliondo si kama sheikh yahaya tu anaenda kutibu wagonjwa wake wa nguvu za giza!!!! Mweh ndugu zanguni nyie mna matatizo hamnaga msimamo akisema sheikh yahaya amepata dawa mtasema nguvu za giza ila dawa ya huyu isiyo na kichwa wala miguu ni imani!!! Sawa sawa serikali kuzuia this auspicious practices of witchcraft.

Mwislam utamjua tu, yaani hizi ndo zenu
 
Mkuu wewe nikuulize unadhani Askofu Laizer yuko sahihi kudai serikali imuachie huyu babu atibu watu wakati dawa yake haina vithibitisho vya kisayansi? Dawa gani lazima atibu yeye wakati duniani tuko watu karibu Billioni 3-5 sasa atawatibu watu wangapi? Vile vile unapozuia dawa isifanyiwe utafiti una hakika gani hiyo dawa haina athari zenginezo (mfano kuna mwana JF anaitwa Zubeda alisema shangazi yake amefariki) nikuulize akiwa amekufa kutokana na hiyo dawa mnalo la kupinga? Hamuoni wakizuia watu sasa hivi wataweza kuzuia maafa.

I think it is about time watu waheshimu serikali na iachwe kufanya kazi yake. Mkemia mkuu yupo na maabara za serikali zipo uchunguzi ufanyike na majibu tupatiwe ndugu zetu wapate kutibiwa.

Kama ni suala la watu kufa kwa dawa ni maelfu ya watu wangapi wanakufa mahospitalini kutokana na matizo ya dawa za kisayansi? Serikali imewachukulia hatua madaktari wangapi? Wao (serikali) wanachojua ni kutimua mbio kwenda kuhakiki kazi za watu, kukaa wakafanya tafiti huo muda hawana au hawawezi wanachojua ni kudandia vya wengine tu. Hayo ni masuala ya kiimani kaka, waachiwe wenye imani zao, tena serikali ikae mbali kabisa vinginevyo impact yake inaweza kuwa mbaya. Hata nashangaa mpaka sasa hivi TRA hawajaingiza timu kwa Babu kukusanya kodi.
 
Mkuu wewe nikuulize unadhani Askofu Laizer yuko sahihi kudai serikali imuachie huyu babu atibu watu wakati dawa yake haina vithibitisho vya kisayansi? Dawa gani lazima atibu yeye wakati duniani tuko watu karibu Billioni 3-5 sasa atawatibu watu wangapi? Vile vile unapozuia dawa isifanyiwe utafiti una hakika gani hiyo dawa haina athari zenginezo (mfano kuna mwana JF anaitwa Zubeda alisema shangazi yake amefariki) nikuulize akiwa amekufa kutokana na hiyo dawa mnalo la kupinga? Hamuoni wakizuia watu sasa hivi wataweza kuzuia maafa.

I think it is about time watu waheshimu serikali na iachwe kufanya kazi yake. Mkemia mkuu yupo na maabara za serikali zipo uchunguzi ufanyike na majibu tupatiwe ndugu zetu wapate kutibiwa.

Angalia post yangu iliyotangulia, nimeshajibu maswali yako kabla hujaukiza
 
kwani akiinywa cha ajabu nini. Na je unadhani hicho ulichotype ndio ushahidi wa yeye kunywa? JK ni mwanadamu kama wanadamu wengine, au wewe unamchukulia ni mungu wako kiasi kwamba yeye asiugue? kama anamaradhi ya siri ni yake yeye.

Vipi Slaa hajanywa? maana uzee unamzingira sasa sijui ana isue gani. msitue akanywe fasta maana ccm wakigundua hajanywa itakula kwake

Pumba tupu, Dr Slaa kahusika vp tena! Uzee hata baba yako na mama yako umewazingira tena inawezekana hawapo.!
 
Kaka unasema kweli,na kama ni kweli mhe.jk atangazie umma umuhimu wa dawa hiyo maana yeye aliitumia na anajua fika rais wetu jinsi inavyomsadia.

Kaka naunga mkono hoja yako kuwa JK aeleze umma ukweli kuwa alitumia dawa hiyo na aseme ilivyomsaidia.

Ila nadhani hawezi kufanya hivyo, maana akikiri hivyo kutawafanya wananchi wailazimishe Serikali ipeleke huduma za jamii pale Samunge pamoja na kuboresha mazingira, ya kutolea dawa hiyo.

Sasa ukiangalia kwa makini serikali (ya CCM) haiko tayari kufanya hivyo kwa kisingizio cha kukosa fedha, maana fedha walizonazo ni za kulipa DOWANS, kununulia mashangingi, kujiongezea posho na kugharamia safari za nje za JK.

Tunataka viongozi committed kama mhe.Ndesamburo ambaye ametoa helkopta kwa wagonjwa wanaotokea mikoa ya Kaskazini kuwapeleka Loliondo. Hawa ndio viongozi wanaopaswa, maana wanajali maisha ya Watanzania kuliko mali na fedha.

Na kwa kuwa Serikali ya ccm imeonesha dhahiri kuwa haijali maisha ya Watanzania, na badala ya kuwawezesha wapate tiba inawazuia, ni dhahiri kuwa CCM inaelekea ukiongoni.
 
Annamaria,

fikra zako ni sahihi katika mstari wa sayansi tu. Imani zote huendana na matumizi ya symbols. Maji ya baraka, mavazi maalum, madhabahu/kibla, tasbii, misalaba, sanamu, na vifaa vingine kadha wa kadha.

Kama hoja yako ingekuwa sahihi kiimani basi hakuna imani ya dini duniani. Kwamba maji ya baraka lazima yakapimwe maabara, bakora ya askofu ikapimwe, pete ya shehe ikapimwe, n.k

pia, itakuwaje kama ukipeleka dawa ya babu maabara ukakosa chembechembe unazotarajia? Utawakataza watu wasiitumie wakati wao wakinywa wanasikia kupona? watu watakubaliana na sayansi yako au matokeo ya kutumia dawa?

dawa ya babu ni symbol ya imani yake.

Muhosni,

Umenambia nirudi katika post za nyuma sijaona umelezea tiba na imani zina uhusiano kwani tiba haichaguia imani (kama ni hivyo basi watu wengi wangelikuwa waislamu, wakristo, wachina na kadhalika).

Tuje kwa babu yenu kichekesho kikubwa katika dawa hii ya babu ni kuwa lazima tiba hiyo aitoe yeye. Huu ni uganga wa kienyeji kwasababu kwanza tiba haina masharti maalum na ndio maana kuna pharmacy zinauzwa dawa mjini dar.

Sema hizi support zenu kwakuwa yule alikuwa mchungaji basi nyote mnaunga mkia ila jiulizeni dawa gani hiyo ina masharti ya ajabu kama hayo? Mie mliambiwa lazima muwe wachina kunywa dawa zao za Artesunate Tablets?? Mbona jamani mnakuwa waumini wa ushirikina dawa inatolewa kwa maombi loh! jamani hadi nataka kucheka saa zengine
 
Hii huduma si ilisitishwa jana na wizara ama wameruhusu tena,imekaaje hapo?
 
Kaka naunga mkono hoja yako kuwa JK aeleze umma ukweli kuwa alitumia dawa hiyo na aseme ilivyomsaidia.

Ila nadhani hawezi kufanya hivyo, maana akikiri hivyo kutawafanya wananchi wailazimishe Serikali ipeleke huduma za jamii pale Samunge pamoja na kuboresha mazingira, ya kutolea dawa hiyo.

Sasa ukiangalia kwa makini serikali (ya CCM) haiko tayari kufanya hivyo kwa kisingizio cha kukosa fedha, maana fedha walizonazo ni za kulipa DOWANS, kununulia mashangingi, kujiongezea posho na kugharamia safari za nje za JK.

Tunataka viongozi committed kama mhe.Ndesamburo ambaye ametoa helkopta kwa wagonjwa wanaotokea mikoa ya Kaskazini kuwapeleka Loliondo. Hawa ndio viongozi wanaopaswa, maana wanajali maisha ya Watanzania kuliko mali na fedha.

Na kwa kuwa Serikali ya ccm imeonesha dhahiri kuwa haijali maisha ya Watanzania, na badala ya kuwawezesha wapate tiba inawazuia, ni dhahiri kuwa CCM inaelekea ukiongoni.
Hata Yesu alipokuwa akiwaponyesha walemavu/wagonjwa alikuwa anawaambia waende mbele ya wakuu wao watoe ushahidi wa uponyaji huo. Miujiza ya mwenyezi Mungu si jambo la kuficha.
 
Muhosni,

Umenambia nirudi katika post za nyuma sijaona umelezea tiba na imani zina uhusiano kwani tiba haichaguia imani (kama ni hivyo basi watu wengi wangelikuwa waislamu, wakristo, wachina na kadhalika).

Tuje kwa babu yenu kichekesho kikubwa katika dawa hii ya babu ni kuwa lazima tiba hiyo aitoe yeye. Huu ni uganga wa kienyeji kwasababu kwanza tiba haina masharti maalum na ndio maana kuna pharmacy zinauzwa dawa mjini dar.

Sema hizi support zenu kwakuwa yule alikuwa mchungaji basi nyote mnaunga mkia ila jiulizeni dawa gani hiyo ina masharti ya ajabu kama hayo? Mie mliambiwa lazima muwe wachina kunywa dawa zao za Artesunate Tablets?? Mbona jamani mnakuwa waumini wa ushirikina dawa inatolewa kwa maombi loh! jamani hadi nataka kucheka saa zengine

Suala la imani kwenye tiba huwa lipo bwana mdondoaji. Kama umewahi kusoma Biostatistics, utakuwa unakumbuka kitu kinaitwa PLACEBO EFFECT. Jaribu ku-google ujikumbushe kidogo. In some cases placebo effect in medical studies can be as high as 30 percent.
 
... Naamani aliambiwa na Nabii akajichovye mto yordani mara saba!!! kwanini unafikiri hakuambiwa achote maji ya mto akaogee nyumbani...?
Unauliza maswali ya kipagani, badilika kwanza wewe! na mengine yote utaelewa! angalia usije ukatukana tu kwa aliekuumba maana hata senti hutoi kwa hewa ya bure unayotumia hata kukufanya useme haya unayosema!
 
Acha uwongo na unafiki. Wewe si mwanamaombi. Ni mbweha aliyejivisha ngozi ya kondoo. Tumekushtukia!
 
Mi mwenzenu, bado sijaweza kuamini moja kwa moja kwamba hii dawa ya babu ni ufunuo wa kimungu, Mungu wa kweli anayeabudiwa ktk roho na kweli.

Bado sijaona sababu kuu za msingi za kuona kwamba huu ni ufunuo wa Kimungu asilimia mia moja.

Labda tuseme tu kuna mti unaonekana kwa macho ya nyama ambao ukichemshwa na huyo babu watu wakinywa wanapona.
Sioni tatazo Serikali ikifanya kile kinachotakiwa kufanyika kwa nia nzuri tu, kwa usalama wa watanzania wenyewe!!

Na siku zote cha Mungu huwa kinadumu, kwa hiyo haijalishi nini kitafanywa kama limetoka kwa Mungu kweli litadumu.

Lakini mm binafsi bado sijapata sababu ya msingi ya kuhakikisha na kuthibitisha huu ni ufunuo wa kimungu, Mungu aliye hai.
 
Na aache kuchanganya na mambo ya kichawi ama sivyo dawa haitafanya kazi.

Kaka Jasusi, hata mimi hapo kwenye kuchangany'a mambo ndo kunanipa wasiwasi.

Si unajua tena huyu ndugu yetu ni mswahili? Kazaliwa Bagamoyo kwa hiyo yale mandege meupe ya Mlingotini na Kaole anayafahamu vizuri.

So pamoja ma kupokea dawa yenye uvuvio wa BWANA, sijui kama ataweza kuacha hayo mambo yake ya kiswahili.
 
Hapa sasa kuna contradiction wakuu. Tiba inahusiana na imani au ndio mnatafuta lawama? Hivi zile dawa za kichocho, malaria na kifafa ni imani au scientific research? Sasa huyo babu wa loliondo si kama sheikh yahaya tu anaenda kutibu wagonjwa wake wa nguvu za giza!!!! Mweh ndugu zanguni nyie mna matatizo hamnaga msimamo akisema sheikh yahaya amepata dawa mtasema nguvu za giza ila dawa ya huyu isiyo na kichwa wala miguu ni imani!!! Sawa sawa serikali kuzuia this auspicious practices of witchcraft.

utakapo kuwa na UKIMWI NDIO utajua babu ni nguvu ya giza au la! kwanza sijui km umepika unaongea km MANIAC fulani hivi.
Nyie ndi viranja wa ufisadi, km huna cha kuongea nyamaza.

Huna ushuhuda wowote ule unaropoka, na nakuombea uukwae ugonjwa ili umtafute babu na hutapona kwa roho yako ya ufisadi. Mkulu wa nchi mwenyewe alishaenda sasa wewe ZUMBUKUKU unaongea utumbo hapa . KBB yako wee. Nakuapia siku moja utamtafuta babu usitafute sifa za kijinga km jamaa zako wa wizara ambao tuna data walishatibiwa na babu au tukuwekee picha ndio uamini ms********zmkubwa wee
 
hayo ni mambo yake binafsi, bora tu awe mzima na aachie madaraka salama.. Watu wachukue nchi (chadema) ...

Ni kweli kaka Ivuga. Bora apate walau nguvu ya kukimbilia uhamishoni Saudi Arabia (maana ndiko kijiwe cha viongozi mabazazi walioshindwa).

Akaungane na mafedhuli wenzake kina Mubarak na Ben Ali.
 
Suala la imani kwenye tiba huwa lipo bwana mdondoaji. Kama umewahi kusoma Biostatistics, utakuwa unakumbuka kitu kinaitwa PLACEBO EFFECT. Jaribu ku-google ujikumbushe kidogo. In some cases placebo effect in medical studies can be as high as 30 percent.

Mkuu ngoja nikuulize ukienda Pharmacy unaulizwa dini yako? ili ununue dawa ya malaria au mafua? A very simple illustration mbona mnakuwa wagumu kuelewa nyie watu. Sasa iweje nikienda loliondo kwanza lazima nipewe dawa na mchungaji hata kama mimi ni muislamu na vile vile hiyo dawa niokoke huu sasa si ujinga mtupu!!!! Kama sitaki kuokoka je nitatibiwa mie ndio maana nasema huo ni ushirikina mtupu.
 
Back
Top Bottom