Na aache kuchanganya na mambo ya kichawi ama sivyo dawa haitafanya kazi.
Amekunya huyo!Kwa kweli huu ni uhuni. Nimefuatilia habari kupitia Chanel Ten, ITV, na TBC wananchi wanaongea kwa jazba sana na hasira zisizomithilika.
Serikali imemzuia babu baada ya magari yenye DFP,STJ, STK,SM na SU kuwa yameisha Loliondo.
Haiwezekani JK anywe dawa halafu eti walalahoi kukatazwa kwa kisingizio cha kukosekana kwa huduma. Kwani JK alipokwenda hizo huduma zilikuwepo?
Haiwezekani mtu ametoka Mbeya hadi Arusha tena akiwa hoi mahututi, kwa kusindikizwa na ndugu zake tena kwa kulipa gharama kubwa za nauli halafu eti anaambiwa arudi kwao kwa kuwa eti serikali imesitisha huduma.
Huu ni utapiamlo wa fikra. Kivipi serikali wasitishe huduma ambayo hawakuianzisha? Kama wanataka, wakasitishe huduma Muhimbili sio kwa mtumishi wa Mungu mchungaji Ambilikile.
Mwenye uwezo wa kusimamisha huduma ya mchungaji ni Mungu pekee, maana ndiye aliyeianzisha.
Siyo mara zote Yesu wala manabii waliponya kwa kusema tu neno kwa mfano Yesu aliwahi mponya mtu kipofu kwa kumpaka tope machoni na kumwambia akanawe then akapona. Pia Nabii Eliya aliwahi mponya mtu anaitwa Naamani kwa kumwambia atumbukie mto yordani mara saba. Je angekuwepo Eliya leo wizara ya afya ingemwambia aache mpaka wakapime active ingredient iliyoko kwenye maji ya mto yordani? au wangemwambia Yesu aache wakapime tope kwanza?.
Dada tofautisha Imani na sayansi na kwa taarifa maabara hawataona hiyo active ingredients unazotaka kuchunguza ili mtengeneze dawa inayofanania muuze kwa bei ya kifisadi.
We subiri ikapimwe wakati watu wameshapona.
...unawezaje kujua mambo ya ndani ya nyumba ilihali uko nje..? OKOKA KWANZA, NDIO UTAIJUA KWELI!!!WALIO NA MUNGU NDIO WANAJUA UPONYAJI WA IMANI UNAKUWAJE, kasome habari ya Naaman kwenye Biblia utajua nguvu za Mungu zinavyotenda kazi, usilinganishe na ushirikina.Hapa sasa kuna contradiction wakuu. Tiba inahusiana na imani au ndio mnatafuta lawama? Hivi zile dawa za kichocho, malaria na kifafa ni imani au scientific research? Sasa huyo babu wa loliondo si kama sheikh yahaya tu anaenda kutibu wagonjwa wake wa nguvu za giza!!!! Mweh ndugu zanguni nyie mna matatizo hamnaga msimamo akisema sheikh yahaya amepata dawa mtasema nguvu za giza ila dawa ya huyu isiyo na kichwa wala miguu ni imani!!! Sawa sawa serikali kuzuia this auspicious practices of witchcraft.
Mkuu navyoiona hiyo post ya annamaria haikosowi udini bali anatofautisha sayansi na dini. Sasa wewe unamchomeka askofu Laiza humo kwamba ni mdini nadhani unapotosha haja ya annamaria
WanaJF tuache siasa kwenye jambo hili.Tuache wataalam wafanye kazi.Tunajua serikali yetu haina dini,haifungamani na imani za kidini na ni wajibu wake kulinda uhai wa watu wake.Serikali needs to take babu seriously kwasababu magonjwa ambayo babu anasema anayatibu ni magonjwa sugu,yana mateso sana,na hayatibiki mpaka sasa pamoja na maendeleo makubwa ya sayansi ya tiba duniani na yanaua sana duniani kote.Wengine yameshatupotezea ndugu zetu wengi wa karibu na kweli tunatamani sana,siku moja dawa ya kuyaponya ipatikane.Lakini hii dawa isiwe ya kubahatisha na labda kumuongezea matatizo zaidi au hata kumuua mgonjwa in a long run.Hivyo huyu Babu anaposema anatibu lazima tujue kwanza active ingredient(s) ya/za hiyo dawa yake ni nini?Lazima pia tujue targets za dawa mwilini na mechanism of action ya hiyo dawa na side effects zake.Kuna aina nyingi za kansa na huwa zinakuwa katika grades na stages tofauti at diagnosis hivyo kufanya na matibabu kuwa tofauti pia.Hawezi kuchemsha maji na majani fulani halafu akasema anatibu kansa,eti kaoteshwa na Mungu.Hata Kisukari nacho kipo tofauti na matibabu yake pia ni tofauti.HIV/AIDS ndiyo kabisaa
Askofu Laizer kwa maoni yangu anakosea anapopinga tiba ya babu kupelekwa maabara kwanza.Huyu babu hatibu kwa imani bali kwa miti shamba.Kutibu kwa imani ni kwa kuamuru/maombezi/kusali kama walivyofanya manabii wa kale kina Elisha,Elijah na hata Yesu mwenyewe na wanafunzi wake.Hawa walikuwa 'wanaongea' tu na wagonjwa wanapona.Hawakuwa wanachemsha maji na mizizi/majani kama babu wa loliondo.Angekuwa anatibu kwa imani,serikali isingetaka kufanya utafiti,kwavile hata hizo samples/specimens za kuchukua kwa ajili ya utafiti zisingekuwepo!
my 2 cents wakuu!
kwani akiinywa cha ajabu nini. Na je unadhani hicho ulichotype ndio ushahidi wa yeye kunywa? JK ni mwanadamu kama wanadamu wengine, au wewe unamchukulia ni mungu wako kiasi kwamba yeye asiugue? kama anamaradhi ya siri ni yake yeye.
Vipi Slaa hajanywa? maana uzee unamzingira sasa sijui ana isue gani. msitue akanywe fasta maana ccm wakigundua hajanywa itakula kwake
Uponyaji ndani ya Biblia ulipimwa na makuhani. Na Yesu aliruhusu watu wakajionyeshe kwa makuhani.
Luke 17:11-14: As he was going into a village, ten men who had leprosy met him. They stood at a distance 13 and called out in a loud voice, "Jesus, Master, have pity on us!" When he saw them, he said, "Go, show yourselves to the priests." And as they went, they were cleansed. NIV