Joseph
JF-Expert Member
- Aug 3, 2007
- 3,518
- 1,090
Huu ni wakati mzuri wa kujipanga katika uchaguzi wa madiwani,bado tuna kazi kubwa mbele ya kuwaandaa wananchi katika mabadiliko ya kweli mwaka 2015.
Mkutano unaonesha dhahiri kuwa watanzania wanajua nini wanataka bila kushawishiwa kwa pesa na kusombwa na magari kwenda kwenye mikutano.
Mkutano unaonesha dhahiri kuwa watanzania wanajua nini wanataka bila kushawishiwa kwa pesa na kusombwa na magari kwenda kwenye mikutano.