what made them jobless while other are enjoying unearned opportunities to prosper simply because they are related to corrupt molesting dude??
we nawe unadharau jobless bila kujiuliza why are those people jobless
manina wallahi kweli aliyeshiba hamjali mwenye njaa
kesho unaenda kuomba kura kwa hao-hao uliowatukana??? time is coming and we will take head on people like you and your comments will work against you
Hii michango miwili ni kutoka kwa one and the same person ZeMarcopolo! Eti wanaohudhuria mikutano ya Chadema ni wale deceived and jobless lakini wanyonge na masikini huichagua CCM kwa sababu wanaiamini! Kwa kweli ili ukitetee hiki chama cha mafisadi lazima uwe na akili sana kama ZeMarcopolo! Bila shaka kwa hizi akili angekuwa mtaji mzuri sana kwa mgombea wa Uraisi Marekani, Mitt Romney!
Okay! ZeMarcopolo naomba jibu kwa kaswali kangu kadogo...hiyo reality unayoiongelea ni ipi?Kuna watu waliokuwa deceived na watu wanaotambua reality. Wanaotambua reality ndio wanaoamua nani awe madarakani...
Okay! ZeMarcopolo naomba jibu kwa kaswali kangu kadogo...hiyo reality unayoiongelea ni ipi?
Okay ZeMarcopolo, sasa maisha ya mtanzania yanaboreshwa kwa njia gani?Kuwa maisha ya mtanzania hayawezi kuboreshwa kwa porojo za kwenye majukwaa ya siasa.
Okay ZeMarcopolo, sasa maisha ya mtanzania yanaboreshwa kwa njia gani?
Hawa Hawapewi KOFIA; KHANGA na PESA...
Most of these are deceived jobless...
Deceived by a corupt regime
Mtu mzima Janjaweed, Umeshindwa kunielewa probably because of preconceived ideas ulizo nazo. Ujumbe ninaoutoa ni kwamba where are the learned fellows? ...kuna watu maalum kwa ajili hiyo - the deceived vulnerable jobless youths.
what made them jobless while other are enjoying unearned opportunities to prosper simply because they are related to corrupt molesting dude?? we nawe unadharau jobless bila kujiuliza why are those people jobless...manina wallahi kweli aliyeshiba hamjali mwenye njaa...kesho unaenda kuomba kura kwa hao-hao uliowatukana??? time is coming and we will take head on people like you and your comments will work against you
CCM ni chama kinachotetea haki za wanyonge. Wapiga kura wengi ni wanyonge masikini, ndio maana wanakichagua chama wanachokimini CCM
read again my post "Kosa kubwa mnalofanya CCM kwa sasa ni hii dharau kwa maskini... THEY ARE THE REAL VOTERS!!...calling names, mocking them expecting that they are fools for life wont help...traitors never hide....
Kuna watu waliokuwa deceived na watu wanaotambua reality. Wanaotambua reality ndio wanaoamua nani awe madarakani...
Okay! ZeMarcopolo naomba jibu kwa kaswali kangu kadogo...hiyo reality unayoiongelea ni ipi?
Kuwa maisha ya mtanzania hayawezi kuboreshwa kwa porojo za kwenye majukwaa ya siasa.
Okay ZeMarcopolo, sasa maisha ya mtanzania yanaboreshwa kwa njia gani?
Huyo ndiye ZeMarcopolo, moja wa watu wanaoishi kwenye bonde chafu lenye uvundo lilikopiga kambi genge la wezi na mafisadi kwa jina la CCM...je kuna haja ya kujadiliana na haya malimbukeni? la hasha! Nawaachia wasomaji msome majibu ya hiki kifisadi rejea, mjiamulie wenyewe kama mtaweza kuelewa anachotetea humu ni kitu gani!Yaani mpaka sasa hujui unachotakiwa kufanya ili kuboresha maisha? Tatizo mnapoteza muda mwingi kwenye magenge ya kuhamasisha nchi isitawalike mpaka mnakosa muda wa kutafuta majibu ya maswali ya msingi. Kalagha bao...
hao watu ni wachache ukilinganisha na mikutano ya nyuma, watu ndio wanaanza kuachana na cdm hivyo, wafuasi wengi wa cdm ni wakristo waliomchukia kikwete bila sababu ya msingi akimaliza kipindi chake wamtarudi nyumbani hawa si wanasiasa, ni makantonta.
-katika mkutano huo Lema amewaasa wamachinga kutokugombana wao kwa wao baada ya wengine kupatiwa eneo la kufanyia biashara huku wenzao wakikosa na waliopata hawaonyeshi kuwa hangaikia wenzao.
-amewaomba watanzania wote wapenda haki wa ombe siyo lema kurudishwa ubunge bali haki itendeke.
-Kambeni za uchuguzi mdogo zitanza tarehe 03.10.2012
You are right, tatizo hajakamilisha lengo, hajakamilika na hajui ni kiasi gani anajiweka kuwa kama comical Ali and the likes
Huyo ndiye ZeMarcopolo, moja wa watu wanaoishi kwenye bonde chafu lenye uvundo lilikopiga kambi genge la wezi na mafisadi kwa jina la CCM...je kuna haja ya kujadiliana na haya malimbukeni? la hasha! Nawaachia wasomaji msome majibu ya hiki kifisadi rejea, mjiamulie wenyewe kama mtaweza kuelewa anachotetea humu ni kitu gani!
Ha ha ha, CUF bwana, eti ndio walisema wanakuja kuvunja ngome ya chadema Arusha, naona wamerudi kimya kimya kwa mume wao wakamwambia, 'labda uende wewe sisi tumeshindwa'.
hapa ndipo utaamini kweli ndoa ni kiapo cha kushirikia ktk raha na shida