PICHA: Mkutano wa CHADEMA Jijini Arusha, Sept 25, 2012

PICHA: Mkutano wa CHADEMA Jijini Arusha, Sept 25, 2012

Mkutano wa chama cha demokrasia na maendeleo katika picha, mkutano huo umefanyika baada ya ukuzuiwa kwa takribani siku nne kwasababu mbalimbali ikiwemo kunyimwa uwanja wa NMC na Leo umefanyika kwenye stand ndogo ya Nduruma karibu kabisa na hospitali ya Levolosi.


. Ikumbukwe chama cha CUF juzi jumapili kilishindwa kufanya mkutano wake kwenye uwanja wa soko la Mbauda baada ya kukomea watu kumi na moja tu.
View attachment 66068View attachment 66077
Kamanda Lema akiwa na Kamanda Joshua Nasari..
View attachment 66078Kamanda Nasari akiongea na wakazi wa mjini Arusha...
View attachment 66076Allly Bananga huyu ni kamanda alietokea kwa magamba anakuja kwa fujo sana kifupi nijembe...

Ubarikiwe sana crashwiser kwa covarage zako zenye kushamirishwa na picha kwa ukanda huo umetisha yaan tungekuwa na crashwiser kona zote ccm wangekaa chini coz ni walaini kama maini
 
Samahani mkuu ni uchaguzi mdogo wa kata ya daraja mbili baada ya alie kuwa diwani wa kata hiyo kupitia CCM kufariki dunia pia kuna kata nyingine Arumeru magharibi (Bangata)
Ahsante kamanda! Presha inashuka taratibu sasa.
 
Hapa ndipo nawakubali watu wangu wa Arusha. Mwendo mdundo hakuna kuchagua kiwanja popote ilipo CHADEMA na wao wapo hapo hapo.
Kwa staili hii lazima ccm wakae hawana pa kutokea. Tunasubiri uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya daraja mbili ili kuwakata kilimi magamba.
 
Hapa ndipo nawakubali watu wangu wa Arusha. Mwendo mdundo hakuna kuchagua kiwanja popote ilipo CHADEMA na wao wapo hapo hapo.
Kwa staili hii lazima ccm wakae hawana pa kutokea. Tunasubiri uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya daraja mbili ili kuwakata kilimi magamba.
Na Bang'ata iliyoko Arumeru Magharibi...
 
Ubarikiwe sana crashwiser kwa covarage zako zenye kushamirishwa na picha kwa ukanda huo umetisha yaan tungekuwa na crashwiser kona zote ccm wangekaa chini coz ni walaini kama maini
Leo net ilikuwa inasubua sana huwezi amini tangu saa 3.30 najaribu kuweka picha zina goma nilikuwa niweke picha za awali kabisa...
 
Kwa wale wanaotangaza CHADEMA ni chama cha fujo kuna kitu cha kujifunza hapa.

Ukitazama kwa makini picha tatu za mwanzo (upande wa kulia mwisho kabisa) utaona bendera ya kijani inapepea.

Bila shaka hii ni bendera ya CCM lakini maelfu haya ya wana-CHADEMA wamefanya mkutano wao kwa amani na hakuna mtu aliyeonesha madharau dhidi ya bendera hiyo.

Sina hakika Nchemba angefanya mkutano kwenye eneo ambalo bendera ya CHADEMA inapepea ange-react vipi?
 
Ndio maana nawapenda watu wa Arusha wako juu..... Wakina mama nao hawako nyuma inatia moyo kwa kweli..... I wish waTZ wote wengekuwa na mtizamo kama wakazi wa mji wa Arusha
 
Unatakiwa ujiongeze kama kusoma huwezi hata picha huoni ,maana kama kwenye hansad za mjengoni kuna hoja binafsi kuwa mtoto wa mkulima kasema kinyume na ukweli!! Na( utetezi unaojitosheleza bila kuacha shaka yote ile )wa mtoa hoja alipokuwa mbunge Arusha mjini ukomezani kwa madam unategemea arudi mjengoni akaumbue mzee mzima?sana watamuondolea zuio la miaka 5 kushirikiana uchaguzi . ila huo uchaguzi sijui kama pesa zitapatikana
Hapo mwisho sjakusoma mkuu!!yani ina maana yaani kuwa ni kwamba imekuwa hivyo tena??unajua nakuaminigi sana,kwa hiyo Lema ndiyo kwishney??kampeni za nini sasa? Ndio tayari zimeshavuja au unapiga tu ramli? We usiombe hiyo kitu kabisa mkuu.
 
FJM

Mwigulu LM Nchemba bado mchanga sana kisiasa ndio maana anafanya mambo ya kitoto. Hata mtu asiyesoma sana lakini kwa umri kama wake anakuwa na busara lakini huyu anayejiita first class economist kila siku ni kuongea pumba tu pamoja na kufanya mambo kama mtu asiyegusa darasa kabisa!
 
Back
Top Bottom