PICHA: Mkutano wa CHADEMA Jijini Arusha, Sept 25, 2012

Yes i have preconceived ideas.... and they havent come frfom nowhere

Kosa kubwa mnalofanya CCM kwa sasa ni hii dharau kwa maskini... THEY ARE THE REAL VOTERS!!
Mkuu na utajiri wao wanao jivunia ni wa wizi, dhuluma ufisaadi na rushwa, wasubiri serikali makini iingie madarakani waone tutakavyo wafanya, watarudisha hata senti ya mwisho!!!!

 
Halafu kuna mzee mmoja wa magamba anasema CHADEMA kitakufa muda si mrefu kama sio wehu ni nini?
 
Je Mapolisi wa CCM waliwasindikiza wananchi katika mkutano huo??? kwa maana sijasikia kwamba Chadema wamevunja sheria hapo jana.
 
Hakika Arusha ni CHADEMA na tunapaswa kutafuta uwanja wa kufanyia mikutano maana sioni uwanja hapa mjini unao weza kukizi mahitaji ya chadema....

Kamanda jana kuna mwananchi alipendekeza wanachadema tujichange tununue uwanja kwa ajili ya mikutano yetu! Unacheza na CHADEMA arusha. This is life style! Arusha unatakiwa uwe chadema uishi kwa raha!
 
Naona Shemeji naye kapita hapa akitingisha..................... anasema atakuwa uwanja wa Mbauda kule alikokosa watu juzikati. Amesema kuwa atakuwa pale kuanzaia saa 9 jioni na eti Prof atakuwepo.Shemejiiiiiiiiiiiiiiiiii Ila angepata watu wengi endapo angefanya siku ya Ijumaa baada ya swala. Sijui nimtume nani akawatonye. NGANGARI bhana.............
 
km ni hivyo how come mnawapiga vita cdm c muwaache waendelee na hizo porojo zao za kwny majukwaa mnaogopa nn?@zemarcopolo
 
Siwaelewi watu ambao bado wapo ccm mpaka leo! Ni upofu wa akili na roho pia!
 
chadema ni chadema;wengine wote ni mafisi hawawezi kushindana na nguvu ya umma.toka lin mwanamke asimame akasema kitu na akasikilizaa? cuf ni wake wa ccm na ndoa ilisha fungwa.
 
Hivi kuna mantiki gani ya kuvifanya viwanja vya michezo vya mikoa karibu yote kuwa mali ya CCM?
Tuna subiri chama kingine kiingie madarakani nina uhakika viwanja vyote vitarudi serikalini...
 
Back
Top Bottom