Ha ha ha, CUF bwana, eti ndio walisema wanakuja kuvunja ngome ya chadema Arusha, naona wamerudi kimya kimya kwa mume wao wakamwambia, 'labda uende wewe sisi tumeshindwa'.
-katika mkutano huo Lema amewaasa wamachinga kutokugombana wao kwa wao baada ya wengine kupatiwa eneo la kufanyia biashara huku wenzao wakikosa na waliopata hawaonyeshi kuwa hangaikia wenzao.
-amewaomba watanzania wote wapenda haki wa ombe siyo lema kurudishwa ubunge bali haki itendeke.
-Kambeni za uchuguzi mdogo zitanza tarehe 03.10.2012
Samahani mkuu ni uchaguzi mdogo wa kata ya daraja mbili baada ya alie kuwa diwani wa kata hiyo kupitia CCM kufariki dunia pia kuna kata nyingine Arumeru magharibi (Bangata)Hapo mwisho sjakusoma mkuu!!yani ina maana yaani kuwa ni kwamba imekuwa hivyo tena??unajua nakuaminigi sana,kwa hiyo Lema ndiyo kwishney??kampeni za nini sasa? Ndio tayari zimeshavuja au unapiga tu ramli? We usiombe hiyo kitu kabisa mkuu.
Nimependa sana kauli ya Lema kuhusu kesi ya ubunge nadhani kama wewe ni mtu unayependa haki na si mtu wa kuishi kwa ujanjaujanja basi lazima upende kauli za Lema! Lema ataleta mabadiliko makubwa sana nchi hii kwa msimamo wake huu usio yumba!
kuna uzi mwaingine upo na mapicha kibao umewekwa na Crashwise utafutePicha moja 2 haitoshi 2pia za kutosha kuwakata kilimi magamba