PICHA: Mkutano wa CHADEMA Jijini Arusha, Sept 25, 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: Mkutano wa CHADEMA Jijini Arusha, Sept 25, 2012

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crashwise, Sep 25, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mkutano wa chama cha demokrasia na maendeleo katika picha, mkutano huo umefanyika baada ya ukuzuiwa kwa takribani siku nne kwasababu mbalimbali ikiwemo kunyimwa uwanja wa NMC na Leo umefanyika kwenye stand ndogo ya Nduruma karibu kabisa na hospitali ya Levolosi..

  Ikumbukwe chama cha CUF juzi jumapili kilishindwa kufanya mkutano wake kwenye uwanja wa soko la Mbauda baada ya kukomea watu kumi na moja tu.

  [​IMG]

  [​IMG]
  Kamanda Lema akiwa na Kamanda Joshua Nasari..

  [​IMG]
  Kamanda Nasari akiongea na wakazi wa mjini Arusha...

  [​IMG]
  Allly Bananga huyu ni kamanda aliyetokea kwa magamba anakuja kwa fujo sana kifupi nijembe...

  ====================
   

  Attached Files:

 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mkuu nimeshuhudia.....kulikuwa nyomi mbaya.....
   
 3. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Pamoja kamanda songa mbele
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  -katika mkutano huo Lema amewaasa wamachinga kutokugombana wao kwa wao baada ya wengine kupatiwa eneo la kufanyia biashara huku wenzao wakikosa na waliopata hawaonyeshi kuwa hangaikia wenzao.
  -amewaomba watanzania wote wapenda haki wa ombe siyo lema kurudishwa ubunge bali haki itendeke.
  -Kambeni za uchuguzi mdogo zitanza tarehe 03.10.2012
   
 5. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Ha ha ha, CUF bwana, eti ndio walisema wanakuja kuvunja ngome ya chadema Arusha, naona wamerudi kimya kimya kwa mume wao wakamwambia, 'labda uende wewe sisi tumeshindwa'.
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mbona hukunitafuta...lol
   
 7. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Sasa wewe crashwise mkutano wa cuf na chadema inahusianaje? Au ni kwa vile cuf hawakupata watu.
   
 8. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa anamatani sana, watu kumi na moja tu???? jamani
   
 9. M

  Molemo JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  CCM B aka CUF mpooo?
   
 10. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  sasa mkuu hao watu kumi na moja ni JUMLA YA VIONGOZI NA WAFUASI WAO au ni WAFUASI PEKEE au ni WAFUNGA SPEEKER na WAPAMBA UWANJA??
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ieleweke ninapoisema CUF ninaisema CCM.. na CCM ndicho chama tunacho taka kukiondoa...........
   
 12. Miaghay

  Miaghay JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Mh..!!
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ukitoa idadi ya viongozi na wapambe wao...
   
 14. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  people power ni mwendo wa m4c till T2015cdm.viva cdm
   

  Attached Files:

 15. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,371
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Siasa za Arusha twazijua wana-Arusha, siyo zile za kufunga ndoa then unatoka nje na kusema bwanangu mbaya while usiku waenda lala naye na wana wamzalia. CUF bhana! Nway nilikuwepo na ule umati ni ishara ya weledi wa wana-CDM Arusha. CDM 4EVER.
   
 16. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  M4C, hasalimiki mtu hapa
   
 17. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #17
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  sasa hawa jamaa CCM si ndio watachukia kabisa, utasikia uwanja huu noa sas tunawaleta wakina mama
   
 18. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #18
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hakika Arusha ni CHADEMA na tunapaswa kutafuta uwanja wa kufanyia mikutano maana sioni uwanja hapa mjini unao weza kukizi mahitaji ya chadema....
   
 19. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #19
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,198
  Likes Received: 10,540
  Trophy Points: 280
  Nimepata faraja ya ajab baada ya kuona picha hii....
   
 20. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #20
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Nini tatizo..lol hiyo ndiyo chadema
   
Loading...