PICHA: Mkutano wa CHADEMA Jijini Arusha, Sept 25, 2012

PICHA: Mkutano wa CHADEMA Jijini Arusha, Sept 25, 2012

Umesahau vya Sinon Unga ltd karibu na kwa Mwenzarubi...

kwani uwanja huo ni wa serikali mbona ni wawahindi furani hivi na sasa wana mwanga vifusi ili wazibe mashimo wanataka uweuwanja michezo yao..
 
wa liwapa wamachinga nmc wakidhani cdm itakosa sehemu ya kufanya mkutano,tutaomba hata barazani kwa mtu tufanye mkutano, viva chadma
 
sasa hawa jamaa CCM si ndio watachukia kabisa, utasikia uwanja huu noa sas tunawaleta wakina mama

Tulizindua Operation CHAKAZA CCM Arusha kuelekea uchaguzi mdogo wa udiwani! Lengo CCM ipate kura zisizozidi 50 kwenye udiwani, na zisizozidi 5000 Kwenye Ubunge!
 
Siasa za Arusha twazijua wana-Arusha, siyo zile za kufunga ndoa then unatoka nje na kusema bwanangu mbaya while usiku waenda lala naye na wana wamzalia. CUF bhana! Nway nilikuwepo na ule umati ni ishara ya weledi wa wana-CDM Arusha. CDM 4EVER.

Tafadhali tujuze. Hiyo ndoa imezaa nini au nani?
 
Hakika Arusha ni CHADEMA na tunapaswa kutafuta uwanja wa kufanyia mikutano maana sioni uwanja hapa mjini unao weza kukizi mahitaji ya chadema....
Siku zote hawa CDM wanachowaza ni mikutano na maandamano tu. Viongozi wa CDM wanapenda muda wote kuonekana majukwaani. Hawawapi nafasi ya wanachi na wao kuelezea matatizo yao.
Nafikiri ni muda muafaka kwao kuelewa maana ya demokrasia ya kweli. Wanatakiwa waelewe pia maana ya kuwa na representatives. Uongozi ni kusikilizana pande zote mbili, siyo wewe tu kusikilizwa. Ni muda muafaka kwa CCM kutumia hii opportunity kuwaelemisha wananchi wa Arusha ili waondokane na ulimbukeni waliopandikiziwa na viongozi wachache wa CDM wenye uchu wa madaraka na wasiopenda maendeleo.
 
Nadhani kama ni matatizi yanakwenda ofisini, kwenye mikutano ni taarifa za utekelezaji tu, juu ya nini kimefanyika

Siku zote hawa CDM wanachowaza ni mikutano na maandamano tu. Viongozi wa CDM wanapenda muda wote kuonekana majukwaani. Hawawapi nafasi ya wanachi na wao kuelezea matatizo yao.
Nafikiri ni muda muafaka kwao kuelewa maana ya demokrasia ya kweli. Wanatakiwa waelewe pia maana ya kuwa na representatives. Uongozi ni kusikilizana pande zote mbili, siyo wewe tu kusikilizwa. Ni muda muafaka kwa CCM kutumia hii opportunity kuwaelemisha wananchi wa Arusha ili waondokane na ulimbukeni waliopandikiziwa na viongozi wachache wa CDM wenye uchu wa madaraka na wasiopenda maendeleo.
 
Duh, nimekubali kweli Arusha CCM hawana chao. Na hapo ulikuwa ni mkutano unahutubiwa na makamnda wa Arusha tu nyomi iko hivyo, je angekuwepo Jembe Dr, kamanda Mbowe, Mnyika, Lisu, na wengineo ingekuwaje!
 
Siku zote hawa CDM wanachowaza ni mikutano na maandamano tu. Viongozi wa CDM wanapenda muda wote kuonekana majukwaani.

Mkuu, usishangae hapo kwenye red kwani viongozi wengi wa CDM wanaasili ya muziki au kuimba usishangae kupenda majukwaa,Mbowe-DJ,Dr Slaa kwaya na mahubiri kanisani,Lema-kiongozi wa kwaya shule ya msingi,Sugu ndio usiseme mpaka salamu anatungia verse.
 
Aluta continuaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! too sad nilikuwa nje ya mji kikazi, but kamakawa makamanda wamewakilisha.
 
Mkuu, usishangae hapo kwenye red kwani viongozi wengi wa CDM wanaasili ya muziki au kuimba usishangae kupenda majukwaa,Mbowe-DJ,Dr Slaa kwaya na mahubiri kanisani,Lema-kiongozi wa kwaya shule ya msingi,Sugu ndio usiseme mpaka salamu anatungia verse.
Dada Mingoi umemaliza? au utaenda kuosha na vyombo?
 
Last edited by a moderator:
Sijamwona Ritz na Zomba humu nda vipi mpo FACEBOOK leo?
sorry nimemsau...(angalia reason for editing) aaah yupo yeye tayari anabwabwaja hapa
 
hahahahahhahahahhahahah@ rejao na mingoi! ila mmemsahau joshua nassari ni mwimbaji mzuri, alikuwa anatuburudisha na masongi ya ukweli enzi hizo twasoma tabora skuli, yeye alikuwa tabora boys mie tabora girls, so siku za welcome first year,form five na graduation hata disko mbuzi zote za skuli alikuwa anakuja tabora girls aka warsaw kutuburudisha.ndo vipaji huoni vinavyosaidia wananchi kuelewa mziki wa chadema uwakoseshao usingizi?????
 
Mkuu, usishangae hapo kwenye red kwani viongozi wengi wa CDM wanaasili ya muziki au kuimba usishangae kupenda majukwaa,Mbowe-DJ,Dr Slaa kwaya na mahubiri kanisani,Lema-kiongozi wa kwaya shule ya msingi,Sugu ndio usiseme mpaka salamu anatungia verse.

Kuna ubaya gani kwa kuimba? Je Khadja Kopa (Mjumbe wa NEC, CCM), Vicky Kamata (MB, CCM), John Komba (MB, CCM), Yusuf Makamba (Katibu wa MAGAMBA Mstaafu).......nk. Je hawa siyo watu? TAFAKARI
 
Mkuu, usishangae hapo kwenye red kwani viongozi wengi wa CDM wanaasili ya muziki au kuimba usishangae kupenda majukwaa,Mbowe-DJ,Dr Slaa kwaya na mahubiri kanisani,Lema-kiongozi wa kwaya shule ya msingi,Sugu ndio usiseme mpaka salamu anatungia verse.
Mkuu....bora umekuja ku clarify zaidi.
 
@ dumelang....kweli bana washkaj naona mamekimbilia facibuku leo!
 
hahahahahhahahahhahahah Rejao na mingoi! ila mmemsahau joshua nassari ni mwimbaji mzuri, alikuwa anatuburudisha na masongi ya ukweli enzi hizo twasoma tabora skuli, yeye alikuwa tabora boys mie tabora girls, so siku za welcome first year,form five na graduation hata disko mbuzi zote za skuli alikuwa anakuja tabora girls aka warsaw kutuburudisha.ndo vipaji huoni vinavyosaidia wananchi kuelewa mziki wa chadema uwakoseshao usingizi?????
Ciello...Kumbe na wewe ulikuwa warsaw??? Umenikumbusha maisha niliyoyaishi ya ugali na mawese hapo Tabora boys. Noooooo....haiwezekani, inamaana na Nasar alikuwa kipaji maalum??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom