PICHA: Mkutano wa CHADEMA Jijini Arusha, Sept 25, 2012

Leo nimekosa mawe ya nguvu toka kwa Kamanda lema,nimemstukia boss leo kunipanga safari ya Nairobi
 
Kuna ajabu gani Lema kukusanya watu Arusha? Hapo ni nyumbani kwake ningeona ajabu kama kakusanya umati huo Chakechake-Pemba; wakati tumieni akili kabla ya kuandika majisifu

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Most of these are deceived jobless...

what made them jobless while other are enjoying unearned opportunities to prosper simply because they are related to corrupt molesting dude??

we nawe unadharau jobless bila kujiuliza why are those people jobless

manina wallahi kweli aliyeshiba hamjali mwenye njaa

kesho unaenda kuomba kura kwa hao-hao uliowatukana??? time is coming and we will take head on people like you and your comments will work against you
 
Now you're talking. Na muache kuchezea nyumba za wanaume. "Mkachezeane" huko huko mnakofanyiana kidali-po na mambo yenu ya Pwani hadi ndoa ya mkeka! A-town ni kazi tu; wanaume hawajui somo lingine.
 
what made them jobless while other are enjoying unearned opportunities to prosper simply because they are related to corrupt molesting dude??

we nawe unadharau jobless bila kujiuliza why are those people jobless

manina wallahi kweli aliyeshiba hamjali mwenye njaa

kesho unaenda kuomba kura kwa hao-hao uliowatukana??? time is coming and we will take head on people like you and your comments will work against you

Mtu mzima Janjaweed,
Umeshindwa kunielewa probably because of preconceived ideas ulizo nazo.
Ujumbe ninaoutoa ni kwamba where are the learned fellows?
Kuna jamaa wangu mmoja mwanasheria kuna siku aliniambia kinachohitajika Tanzania ni maandamano ya kuitoa serikali madarakani kwa nguvu ya umma, nikamuuliza uko tayari kuandamana? Akaniambia no, kuna watu maalum kwa ajili hiyo, akimaanisha watu kama hawa waliojaa hapa - the deceived vulnerable jobless youths. Nilicheka huku nikimwambia jamaa tuendelee kuongea mambo mengine tu...
Lerned fellows never show up!!! They follow events on TV, facebook or JF...
 
Yes i have preconceived ideas.... and they havent come frfom nowhere

Kosa kubwa mnalofanya CCM kwa sasa ni hii dharau kwa maskini... THEY ARE THE REAL VOTERS!!
 
Most of these are deceived jobless...

So what is your point ? they do not have any right to paticipate in political meetings ? kuwa jobless ni kukosa kazi siyo ? kwani kukosa kazi ni dhambi ? I really fail to understand ! I was one of these jobless for almost four years after my undergraduate, I suffered alot, then I decided to employ myself, baada ya self empoyment ndipo nilihangaika tena kujiendeleza na post graduate, hata sasa ni self employed cause I was jobless ( unemployed) under the formal system. UNALO ?
 
Umeshawahi kushiriki maandamano ya kumuunga mkono kiongozi wa kisiasa?
 
Yes i have preconceived ideas.... and they havent come frfom nowhere

Kosa kubwa mnalofanya CCM kwa sasa ni hii dharau kwa maskini... THEY ARE THE REAL VOTERS!!

CCM ni chama kinachotetea haki za wanyonge. Wapiga kura wengi ni wanyonge masikini, ndio maana wanakichagua chama wanachokimini CCM na kinashinda kila chaguzi kuanzia ngazi ya vijiji mpaka taifa.
 
Kuna ajabu gani Lema kukusanya watu Arusha? Hapo ni nyumbani kwake ningeona ajabu kama kakusanya umati huo Chakechake-Pemba; wakati tumieni akili kabla ya kuandika majisifu

Chama
Gongo la mboto DSM

Hiyo ni story tu mkuu, kwani wanajadili maajabu ? wametoa tu taarifa ya mkutano wa huko Arusha.
 
Back
Top Bottom