sijui unazijua vizuri sale za jwtz au unaongea tu...kwa cc tunaojua hiyo sio sale ya jwtz.... Na siasa na ukombozi wa kweli hauji hivyo kwa kutafuta watu kuwavalisha kombati kutimiza maelngo ya kiasiasa ,....ukombozi w akweli uko moyoni na mapenzi na chama yako moyoni....
Kusimama na piga picha na Lema ndio tafsiri ya kushiriki siasa?Kushiriki siasa waziwazi na kama mtumishi wa umma.
Kusimama na piga picha na Lema ndio tafsiri ya kushiriki siasa?
Kwani maana ya alama ya V ni chademaKosa lake ni kushabikia chama cha siasa. Maana mwanajeshi hapaswi kushabikia chama chochote. Kwa kujitokeza kwake kwenye mkutano wa CHADEMA na kuonyesha alama ya V, kuna influence ya moja kwa moja kwa raia, na pia kunamuondolea yeye sifa ya kuweza kutenda haki iwapo yatatokea machafuko au mgogoro kati ya CHADEMA na CCM au chama kingine chochote.
Kosa lake litakuwa lipi?
Sio kweli wanajeshi wana maisha mazuri sana kulinganisha na kada nyingine,, mikopo ,,mshahara,, hela ya chakula ,, wanaoishi nje ya kambi umeme maji bure,,achani unazi huyu. Kanyea debe tayari
tumia akiri kidogo ktk kuandika hivi unaweza kulipa thamani ya uhai wa m2 kwa vipesa vya maji unavyosema and how much?mbona wakistaafu wanakuwa walinzi wa maduka na nyumba zetu kwa ujira wa kijinga' ni bora hawa jamaa wakaboreshewa maslahi na maisha yao kwa ujumla.Sio kweli wanajeshi wana maisha mazuri sana kulinganisha na kada nyingine,, mikopo ,,mshahara,, hela ya chakula ,, wanaoishi nje ya kambi umeme maji bure,,achani unazi huyu. Kanyea debe tayari