tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,307
Kwahiyo hiyo ndo style mpya ya kuombea kura?
hao sisiemu sio wananchi?Mbona sioni wananchi hapo ila nawaona wana ccm pekee!
Au wananchi hawaitaki ccm ndio maana hawataki hata kwenda kuwasikiliza!
Safari hii watatoa hadi 0713...
Elimu bure na atakaenunua na ukikosa dawa hospitali umpigie simu moja kwa moja raisHIVI MAGOTI YA NN NA WAKATI UCHUMI UMEIMARIKA TUMEKUWA WA MFANO AFRIKA
Niliyemqoute nilimaanisha kuwa weledi katika utumishi ni katika nyanja zote. Si kwa sababu tayari umepata kura ndo hutumikii wananchi wako ipasavyo, jimboni huonekani hadi kipindi cha kampeni.. Si sawa kabisaKwa sababu wanaomba kura wakati mwingine wapige magoti kwa kuomba nini?
Sky, do you have details of campaign inclination in Kinondoni?Labda aweke nguvu ya ziada ya u professor lakini kwa sasa hivi Mtulia yuko kwenye maji marefu
Ngoja nimwombe mtulia namba za jpmElimu bure na atakaenunua na ukikosa dawa hospitali umpigie simu moja kwa moja rais
Mbona hao kama ni watoto tuu kuna mpiga kura kweli hapo?Mbunge wa Korogwe Vijijini Steven Ngonyani 'Maji Marefu' akimuombea kura mgombea ubunge jimbo la Kinondoni kupitia CCM, Maulid Mtulia wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya People Kigogo jijini Dar es salaam jana.
Chanzo: Mwananchi
Naona umejipa kazi ya kujibu hojaNdio utakaowapa ubunge.
Ni unafiki uliopitiliza na hutokea tu wakati wa chaguzi.Kuna tatizo gani kupiga magoti.
Nimevunja sheria?Naona umejipa kazi ya kujibu hoja
Unakuathiri nini?Ni unafiki uliopitiliza na hutokea tu wakati wa chaguzi.
Kinachonifurahisha mikutano ya CCM ni kama wapo Chimwaga, kijani na njano kwa wingi.. ndio maana ni rahisi tu kuamini kuwa umati huo umeletwa na mabasi, maana majority ni wanachama na wakereketwa wa CCM.. ukitaka kupika data, be smart.. wananchi tulio wengi sio wnachama wa vyama vya siasa.. na wengi hatuna uniform zao..Mbunge wa Korogwe Vijijini Steven Ngonyani 'Maji Marefu' akimuombea kura mgombea ubunge jimbo la Kinondoni kupitia CCM, Maulid Mtulia wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya People Kigogo jijini Dar es salaam jana.
Chanzo: Mwananchi
Hainifurahishi kuona wabunge wa kwetu huko Tanga kuwa wanafiki kiasi hiki.Unakuathiri nini?
Yes baada ya kuona push up zinawazuru wamebuni mbinu mpyaUmmy nae alipigaagoti
Kwa hiyo hii ndo staili mpya ya chama chetu?
Vumilia tu kwa sababu huwezi kufurahishwa na kila kitu.Hainifurahishi kuona wabunge wa kwetu huko Tanga kuwa wanafiki kiasi hiki.
Ikinikera ni haki yangu kusema.Vumilia tu kwa sababu huwezi kufurahishwa na kila kitu.