PICHA: Mbunge Steven Ngonyani akipiga magoti kumuombea kura mgombea wa CCM, Maulid Mtulia

Kwa sababu wanaomba kura wakati mwingine wapige magoti kwa kuomba nini?
Niliyemqoute nilimaanisha kuwa weledi katika utumishi ni katika nyanja zote. Si kwa sababu tayari umepata kura ndo hutumikii wananchi wako ipasavyo, jimboni huonekani hadi kipindi cha kampeni.. Si sawa kabisa
 
Akili zao ndio zimeishia hapo.. Wanajua behind the scene, wao ndo wanamiliki kila kitu kuanzia NEC, Police, Wakurugenzi wa halmashauri.. So wana uhakika wa kupora ushindi mchana kweupeee..
 
e5e7c226e942d929f6d78ff7b90a66c4.jpg
Mbunge wa Korogwe Vijijini Steven Ngonyani 'Maji Marefu' akimuombea kura mgombea ubunge jimbo la Kinondoni kupitia CCM, Maulid Mtulia wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya People Kigogo jijini Dar es salaam jana.

Chanzo: Mwananchi
Mbona hao kama ni watoto tuu kuna mpiga kura kweli hapo?
 
Si mnasema serikali ya tano inafanya kazi nzuri mpaka wapinzani wanahamia huko? Sasa magoti ya nini? Mnatubembelezea nini?
 
e5e7c226e942d929f6d78ff7b90a66c4.jpg
Mbunge wa Korogwe Vijijini Steven Ngonyani 'Maji Marefu' akimuombea kura mgombea ubunge jimbo la Kinondoni kupitia CCM, Maulid Mtulia wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya People Kigogo jijini Dar es salaam jana.

Chanzo: Mwananchi
Kinachonifurahisha mikutano ya CCM ni kama wapo Chimwaga, kijani na njano kwa wingi.. ndio maana ni rahisi tu kuamini kuwa umati huo umeletwa na mabasi, maana majority ni wanachama na wakereketwa wa CCM.. ukitaka kupika data, be smart.. wananchi tulio wengi sio wnachama wa vyama vya siasa.. na wengi hatuna uniform zao..
Sasa ukiona mkutano wa kampeni wa chama fulani umepambwa na watu waliovaa uniform za chama husika, inamaana kuna utata kuhusu umati wa watu husika..
 
Back
Top Bottom