PICHA: Mbunge Steven Ngonyani akipiga magoti kumuombea kura mgombea wa CCM, Maulid Mtulia

e5e7c226e942d929f6d78ff7b90a66c4.jpg
Mbunge wa Korogwe Vijijini Steven Ngonyani 'Maji Marefu' akimuombea kura mgombea ubunge jimbo la Kinondoni kupitia CCM, Maulid Mtulia wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya People Kigogo jijini Dar es salaam jana.

Chanzo: Mwananchi
What a rubbish
 
Je kuna shida yoyote hapo?
 
Wao wasubili kutumia vyombo vya dola kwakuwa ndani ya box wanajua kuwa ukipanda mabovu lazima uvune mabovu tutarajie uvunjifu wa amani huko muda utatwambia ukifika
 
Back
Top Bottom