Picha: Masheikh Dar wamuombea dua RC Makonda

Picha: Masheikh Dar wamuombea dua RC Makonda

Bwa ha ha ha has sinema hazitoisha nchi hii.. [HASHTAG]#DaudiBashite[/HASHTAG]
 
Hahahaaa..... Huyu kijana usanii umezidi!
 
imani yake ipo huko? Wengine tunaamini kupitia utatu mtakatifu...Yesu ndiyo njia,kweli na uzima....
kunawatu huamini eti kuna majini mazuri?!? Hahahahaaaa..mmh Ngoja nkae kimya
Jifunze kwanza kutofautisha kati ya imani na dini mkuu!
 
Hiyo dua mbaya unayomuombea unaweza kukukuta mwenyewe

Makonda i cancer. Mama yake makonda alikuwa apate cancer,Mwenyezi Mungu anavyopenda akazaa hili litoto la ajabu.
mtu gani anapiga hata wazee wa nchi hii na kuwachafua?
Laan itakupata wewe unayetetea ungese wa mtu mmoja na familia yako. Huu ni upuuzi
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiombewa dua na viongozi dini watika wa ufunguzi semina ya Walimu wanaosomesha Quran Tanzania.

View attachment 474598

Buku kumi hao...hatujawahi kuwajua wala kuwaona kuwa ni masheikh wala maudtadh....wamekusanywa na shehe wa mkoa....kuja kupata riski.

Lakini tuombe kwa pamoja...Abra Cadabra...Parak kokrat...yar makondraaa. Shi shai poplit samai samai..tunguli tunguli..makondra aondoke dar na kanda mbili itikia amin..
 
Mimi pia Sheikh vile vile.
Na namuombea Makonda Mungu amuumbue km anavyo waumbua wanyonge wasio na Hatia.
Amdhalilishe km anavyodhalilisha watu wasiokuwa na Hatia.
Amporomishe Chini km alivyo mporomosha Firaun na Maadui wa haki wengine.
Na ampige maradhi yasio poneka kwa Dhulma anazofanyia watu wasiokuwa na Hatia.

Can i get "Amen" .

Ahsanta.
ameen
 
Hapo ni maigizo hakuna kuombewa wala nini... baba anapenda kamera huyu kama wemasepetu,halafu Kakosea script ukikaa hvo shurti uvue viatu...

Soksi haziaminiki; aidha zimechanika kwenye vidole au zinatema.
 
Mungu ndiye mlinzi asiye lala wala kuchoka!!! Atakulinda kwa namna wewe usiyoijua atamwangamiza adui yako kabla hajakufikia au kukudhuru, hakika ulinzi wa Mungu ni wa uhakika.
Kamwe huto pata dhara lolote isipo kuwa atakapo taka yeye.
 
Back
Top Bottom