kisanganyakiswata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2014
- 1,302
- 553
Bila shaka hawa ndio mashehena wachumia tumbo
Hawana kazi....Mungu anawaona. Kuna watu wa muhimu wa kuwaombea....Mungu awabariki hawa masheikh wetu hawa
Wanachonikera wanafanya mambo kinyume na din kwa kutumia mwavuli wa din.hakuna tofaut na mtu aliyevaa kanzu akaenda kula ngurue nikuudhalilisha uislam.uislam ni din yenye misingi isiyobadilika.walichonya din haikitambui hiyo dua niyaowala isihusishwe na din.Hawa jamaa si ndo kila mwaka wananunuliwa pilau na ccm na kupewa ahadi hewa za mahakama ya kadhi na wanawapigia kura????
PESA MBAYA SANA, ZINANUNUA KILA KITU ISIPOKUWA KUMNUNUA MUNGU
Kama babako!Lowassa mwenyewe ni najisi katika nchi
Dah... nimeshtuka, nilidhani wanampa vyeti!!..Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiombewa dua na viongozi dini watika wa ufunguzi semina ya Walimu wanaosomesha Quran Tanzania.
View attachment 474598
Kwani pale ni msikitini mpaka avue viatu?!Hahaaaaaaa!nimecheka mie! Au anataka kuslimu!!! Halafu kwa nini hajavua viatu?
Well said mkuuWanachonikera wanafanya mambo kinyume na din kwa kutumia mwavuli wa din.hakuna tofaut na mtu aliyevaa kanzu akaenda kula ngurue nikuudhalilisha uislam.uislam ni din yenye misingi isiyobadilika.walichonya din haikitambui hiyo dua niyaowala isihusishwe na din.
Wee jamaa kwanini unaichukia CHADEMA Kiasi hicho?? Something must be wrong somewhereMachadema yameumbuka,
Songa mbele makonda mpaka wauza ngada chadema wanyooke
Ngoja life liwe gumu mpaka jero uiite mia tano mnafiki weweDah ungekuwa karibu ningenunulia sayona ya jero
MlljhhhhhjfgjhhhjlfHDhfggglghhhhjjhhhgAsante kwa taarifa lakini hapa sichangii
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiombewa dua na viongozi dini watika wa ufunguzi semina ya Walimu wanaosomesha Quran Tanzania.
View attachment 474598
Makonda amejificha nyuma ya madawa ya kulevya!
Udhaifu wake wote sasa, anasingizia madawa ya kulevya.
Sasa hivi kitu kisipoenda sawa, sababu anayotoa ni Vita ya Unga.