boma2000
JF-Expert Member
- Oct 18, 2009
- 3,321
- 318
Una akili timamu mkuu Allen, au uko under alcohol influencyKitu chochote kinachohusiana na CCM ni najisi kwa nchi yetu!!
Una akili timamu mkuu Allen, au uko under alcohol influencyKitu chochote kinachohusiana na CCM ni najisi kwa nchi yetu!!
Usitukane imani za watu kama hujui kaa kimya. Muislamu safi aombe dua mtu kavaa viatu?!! Msituharibie imani kwa posho za kidunia kesho mtajibu mbele za haki. Hata Musa aliambiwa vua viatu vyako hapa ni patakatifu. Unamuombea MTU hana udhu hiyo dua gani??Mungu aangalie viatu, Mungu anacho angalia nini unamaanisha/nia ya wanamaombi na anaye ombewa.
Kama unataka kujua huyu ni msanii, mark my words; episode ijayo atavua viatu, subiri utaniambia.Kwahiyo ukisoma dua shekh khatan ni ruhusa kuwa na viatu et
Huyo mtu tayari kachanganyikiwaMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiombewa dua na viongozi dini watika wa ufunguzi semina ya Walimu wanaosomesha Quran Tanzania.
View attachment 474598
Au kaamua kubadili jina siyo Daudi tena?Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiombewa dua na viongozi dini watika wa ufunguzi semina ya Walimu wanaosomesha Quran Tanzania.
View attachment 474598
Unataka uchangie mara ngapi?Asante kwa taarifa lakini hapa sichangii
Acha maskhara mkuuAnafungishwa ndo ya nkeka na Masogange
Keshajichanganya tayariMakonda amejificha nyuma ya madawa ya kulevya!
Udhaifu wake wote sasa, anasingizia madawa ya kulevya.
Sasa hivi kitu kisipoenda sawa, sababu anayotoa ni Vita ya Unga.
Muda si mrefu ataanza kuokota makopo.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiombewa dua na viongozi dini watika wa ufunguzi semina ya Walimu wanaosomesha Quran Tanzania.
View attachment 474598
Dah nyie ndo mnaoichafua dini... Kuombewa ni kuombewa haijalish amevaa nn au anafanya nn, kwani we hujawahi kuombewa dua hata na mamaako wakt we haupo na pengne mda huo ulikuwa kwenye mambo ya kiibilisi?? Acha ubaguzi eti sio muislam kwan masheikh wanapofanya dua la kuombea Taifa huwa hawajui kuna wengine ni wa dini tofauti?
Duu...! We nawe hivi dua husomewa walio waislamu tu? Mbona watu husoma dua hata kwa ajili ya mvua nayo ni dini gani?