Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
Hawa mashekhe kama steve nyerere tu atujawai wasikia wakiwaombea wagonjwd
Songa mbele makonda mpaka wauza ngada chadema wanyooke
wanatia jamani loooLabda hawajala ubwabwa siku nyingi hivyo wanautafuta kwa kila namna.
mtihani kweli huu!!!Hawa ndio wanaotudhalilishia Dini yetu.
Na sisi tunaopenda Ukweli nafasi za Usheikh hatupewi hata tupigane na mizinga.
Hebu mtumeni huyo makonda akaombewe Dua na Sheikh mpenda HAKI na Msema Kweli al allama Sheikh Ponda uone km hakutolewa na Bakora za makalio.
Hao SIO MASHEIKH bali ni MASHEHENA. Yaani Mizigo kwenye Dini hii Tukufu.
Hafu hii kweli hatujawai ona kabisaHawa mashekhe kama steve nyerere tu atujawai wasikia wakiwaombea wagonjwd
KiamaNa wala rambi rambi ccm watanyooshwa lini ?
Msiba kweli kweli.mtihani kweli huu!!!
yaani ni msib mkubwa
Hapo kwenye kuvaa viatu wakati dua inaendelea nimekusoma zaidiHaya maigizo,naweza amini sasa anatembeza bahasha,Dua ya kiislamu na masheikh,mtu kakaa na viatu? Bora angesimama tu!!
Vinginevyo atuambie anakiombea cheti chake cha kidato cha nne na sita kitoke sandukuni kilipofichwa na panya!!!
Huyu mtu ataitafuna sana FISIEMU!!
wanafiki mno..wana mdhihaki Mwenyezimungu wazi waziMsiba kweli kweli.
Hawa viumbe ni Donda ndugu ktk hii Dini. Its more than a cancer.
Haina haja ya kuwasema kwa ubaya kiongozi, Bakwata ni Taasisi ya CCM na muanzilishi wake alikuwa yule mchonga meno Nyerere.wanafiki mno..wana mdhihaki Mwenyezimungu wazi wazi
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Haina haja ya kuwasema kwa ubaya kiongozi, Bakwata ni Taasisi ya CCM na muanzilishi wake alikuwa yule mchonga meno Nyerere.
Muanzilishi kaishakufa huku nyuma katuachia Saratani inayosambaratisha Hii Dini. Lkn waislamu wamashaanza kuiona hii Saratani na very soon wataipeleka bakwata aliko Nyerere .
Haha.usanii ukiisha wanasiasa hawakuwepo. Maana usanii na Wanasiasa wengi havitenganishwiHa ha haaa.usanii utaisha lini?