Rama Kazili
Member
- Feb 9, 2017
- 62
- 12
Mbona Semina Haimuhusu
Wewe ulikuwa unamshabikia Makonda, naona sasa unamkandia!
Kosa lake ni kukaa alivyokaa mkuu angesimama hakuna shidaMungu aangalie viatu, Mungu anacho angalia nini unamaanisha/nia ya wanamaombi na anaye ombewa.
Au furu sana mkuuDah ungekuwa karibu ningenunulia sayona ya jero
Njaa tuWalahi tena mashekh wajielewi kweli mgeni rasmi ktk ufunguz wa elimu ya Qur'an unamleta kafiri, masheikh mkapimwe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukisikiliza vizuri hapo utagundua kuwa wanataja majina ya mabasi tu...tahfif, taqwa, tashrif namengineyo ya aina hiyo.
Mpuuzi mamakompuuzi wewe
Siyo bure, huyu kijana ana matatizo. Hapimi ni wapi na wakati gani wa kufanya jambo fulani na athari zake. Hivi kupambana na madawa ya kulevya mpaka uombewe?Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiombewa dua na viongozi dini watika wa ufunguzi semina ya Walimu wanaosomesha Quran Tanzania.
View attachment 474598
comment nyingine utadhani qualification ya kuombewa ni kuwa malaika.