mjombaa5576
Member
- Feb 15, 2017
- 14
- 1
Wangewaombea masheikh walioshiliwa kwa zaidi ya miaka 4 kwa tuhuma ya Ugaidi
imani zingine bn xx hapo na viatu hyo dua haimfiki?Haya maigizo,naweza amini sasa anatembeza bahasha,Dua ya kiislamu na masheikh,mtu kakaa na viatu? Bora angesimama tu!!
Vinginevyo atuambie anakiombea cheti chake cha kidato cha nne na sita kitoke sandukuni kilipofichwa na panya!!!
Huyu mtu ataitafuna sana FISIEMU!!
Kinachoombewa sio miguu ya MakondaHaya maigizo,naweza amini sasa anatembeza bahasha,Dua ya kiislamu na masheikh,mtu kakaa na viatu? Bora angesimama tu!!
Vinginevyo atuambie anakiombea cheti chake cha kidato cha nne na sita kitoke sandukuni kilipofichwa na panya!!!
Huyu mtu ataitafuna sana FISIEMU!!

Hapo sio dini ni imani ya mtu, tena huwa ni more powerful kuliko dini! Maana amejinyenyekeza kwenye beyond human thinking powers, powers za Sovereign Creator of all Universe!katika uislamu hakuna utaratibu kama huu umekaa na mimbuti ya viatu kwenye mameza namna hii kama kanisani, kwanza makonda sio muislamu.
Ndio hao wanadini wanatumia masikini kujitajilisha na siasa itapitia hapo kukuza jina sala za kichrito na kiislam wapi na wapi. He need to know his core values instead of searching for one!Wanasiasa wanajua kuteka akili za wajinga bongo, ingiza mambo ya mungu kidogo tu umeteka asilimia kubwa ya watanzania tayari.
Naona wanamjaza mapepo ili aendelee kuripukaMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiombewa dua na viongozi dini watika wa ufunguzi semina ya Walimu wanaosomesha Quran Tanzania.
View attachment 474598