SS WE HUUSIANI NAYO KIVP? WKT NDO SERIKALI YAKO, NA NDIYO ILIYOKUFIKISHA ULIPOKitu chochote kinachohusiana na CCM ni najisi kwa nchi yetu!!
Mungu awabariki hawa masheikh wetu hawa[/
Sidhani kama ni Mashehe hawa ni wanaccm
hahahaha! huu usanii unaopelekwa hadi nyumba za dini Mungu anauona.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiombewa dua na viongozi dini watika wa ufunguzi semina ya Walimu wanaosomesha Quran Tanzania.
View attachment 474598
Ngebe za Mwigulu je unaziona usicheze na TZ unapewa za uso mwigulu kajificha mvunguni kaachwa na baba wa kudesa PHD wananchi wameona na dunia inajuwaMbona ya Mwigulu yameisha? Ni upepo tuu...
Ukilaaniwa lazima uwe mwenda wazima a command in chief wa mkoa amelegeza mdomo hajijuwi anafanya nini halafu Magufuli anatoka kutuambia jembe mtu aliyeathirika kisaikolojia kama huyu hafai kuongoza DarMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiombewa dua na viongozi dini watika wa ufunguzi semina ya Walimu wanaosomesha Quran Tanzania.
View attachment 474598
Wamuogopee nini? Hii ni 'mnyewe ku mnyewe' jumuia yetu, inamtetea kada wetu, acheni maneno yetu.Viongozi wetu wa dini hebu mwogopeni Mungu hats Bashite , katumia cheti si chake mvamizi mchonganishi Leo mnamwombea dua?