Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,780
anaombewa kuondoa soo la wabunge au?
A sweet coincidence. Magufuguli amemuomba mfalme wa Morocco na akaahidiwa msikiti ambao gharama yake haijafahamika bado. Makonda naye aliahidi kuwajengea waislamu msikiti unaotarajiwa kugharimu 4.5bln/=.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiombewa dua na viongozi dini watika wa ufunguzi semina ya Walimu wanaosomesha Quran Tanzania.
View attachment 474598
Sarakasi zote hizo ni Harakati za Daud Bashite ku divert Mjadala unaomtoka aje na Vyeti Vyake vya Kidato cha nne na Sita...![]()
Kwa ufahamu wangu mdogo mkao huu aliokaa Makonda ni sahihi katika kuombewa dua maana kakaa kama yuko kwenye sala. Lakini mbona hajavua viatu ili kukamilisha taratibu za ibada ya kiislamu? Na hao mashehe wanao mwombea dua hawajaliona hilo?
Huu sio usanii wa kisiasa ndani ya dini au mie ndie sifahamu taratibu? Kuna siku hizi dua tutafanyiwa Bar huku Castle lite ya baridi iko pembeni kwa madhumuni ya kiki za siasa.