Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
lazma wa muombe so anawajengea bakwata
Hat mumuombee vipi nyie MAKADA wa FISIEM Huyu Dogojanja hatumuachii mpaka atueleze jina lake halisi nakwanini amefoji chetiMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiombewa dua na viongozi dini watika wa ufunguzi semina ya Walimu wanaosomesha Quran Tanzania.
View attachment 474598
Hawa ni masheikh au makada wa CCM?
Kwahiyo hata mskitini ruksa?Mbona kavaa viatu ? sio najisi kweli, hapo atakua kakanyaga mikojo na vitu vingine vichafu
duh ngumu kuelewa hapo
Bora wamuombee maskini, maana waovu wameamua kumwandama
Jifunze kuelewa maana ya najisi. Nguruwe kwa waislamu ni najisi lakini kwa wakatoliki ni nyama tamu ya kuliwa. Kwangu mimi kitu chochote kinachohusiana na CCM ni najisi!!
Mungu aangalie viatu, Mungu anacho angalia nini unamaanisha/nia ya wanamaombi na anaye ombewa.

Utadungwa mimba si bure, we komaa nae tuHat mumuombee vipi nyie MAKADA wa FISIEM Huyu Dogojanja hatumuachii mpaka atueleze jina lake halisi nakwanini amefoji cheti
Hakuna tatizo.ingekuwa msikitini kweli.FaizaFoxy ametoa tamko humu,mbona kakaa na viatu?
Hiyo dua mbaya unayomuombea unaweza kukukuta mwenyewemakonda mwisho wako ni mbaya sana. Nakuonea huruma sana. Unajua ndio maana Mwenyezi Mungu hakupi mtoto. Hana akili ya kujenga zaidi kuvuruga with lots of dramas