Picha: Masheikh Dar wamuombea dua RC Makonda

Picha: Masheikh Dar wamuombea dua RC Makonda

Hehhehehehehehehheg jeneza near kuzikwa ameshapata fununu....... Hehheheheheheh
 
Kwa akili hizi usitegemee jipya kutoka kwenye huo ubongo.
 
wananjaa hao wameweka din pembeni sasa wanakula pesa za makondakta hahahahaaaaaa

dini hizi
 
hivi jamani watanzania mbona viongoz wetu wanavituko namna hii?
 
anaomba mungu asitolewe dar es salaam. lazima asepe. dar is a failure because of him
 
Back
Top Bottom