Taarifa isiyo njema ni kwamba cheti HAKIONESHWI NA HAWEZI KUTUMBULIWA.hayo yote tisa, kumi aoneshe cheti chake cha kitatu cha nne basi mwisho wa mchezo asipofanya hivyo issue hii ni mwiba wala haitaisha Leo wala kesho.ANALO.
Not necessarily so. Vipo vingi tu hata huko kwingine ambavyo ni zaidi ya najisi.Kitu chochote kinachohusiana na CCM ni najisi kwa nchi yetu!!
unataka kusema hao mashehe wapo watakuwa wamevua viatukatika uislamu hakuna utaratibu kama huu umekaa na mimbuti ya viatu kwenye mameza namna hii kama kanisani, kwanza makonda sio muislamu.
Obviously watakuwa Makada wa CCMHawa ni masheikh au makada wa CCM?
Usanii at the highest point.Mkuu wa Mkoa wa Dsm,akiwa katulia katikati ya Masheikh huku wakimuombea dua
View attachment 474547
Jifunze kuelewa maana ya najisi. Nguruwe kwa waislamu ni najisi lakini kwa wakatoliki ni nyama tamu ya kuliwa. Kwangu mimi kitu chochote kinachohusiana na CCM ni najisi!!Not necessarily so. Vipo vingi tu hata huko kwingine ambavyo ni zaidi ya najisi.
wapo kwa ajili ya kutumika zaidiunataka kusema hao mashehe wapo watakuwa wamevua viatu
Makada wa ccm kuhu!!!.Hawa ni masheikh au makada wa CCM?
Makonda Ni Muuza ngada na mtumiaji yeye na Masogange! CCM na ngada mwili na ngozi!Songa mbele makonda mpaka wauza ngada chadema wanyooke