Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Tuache utani jamani TSHIRT za CHADEMA ZINABAMBA sana,,, full kupendeza
​Mi nadhani tuufanye mwaka wa mwisho kuvumilia wizi wao wa kura zetu.
Mkombozi wetu lowassa na ukawa
'Muheshimiwa' Magufuli hazungumzwi kabisa !!
POPOMA una uhakika na "unacho kinena?"
ningeshangaa huyu mama wa kichaga asingeipenda chadema / ukawa kwani ndiyo chama chao wa kaskazini ila siyo chama cha watanzania wote kwani watanzania 90% ni ccm tu pekee.

Li Ccm