Picha : Mapokezi ya Lowassa Mbeya

Picha : Mapokezi ya Lowassa Mbeya

kama kiswahili tu fasaha hujui je utaweza kushindana kujenga hoja na mimi? ukabira ndiyo kiswahili cha wapi? nyie " wakuja " mpoje?


Hiv. Hio buku saba hua inalipwa per post au per coment au ni per day mzee naona unapiga ma over time ya kufa mtu pussy cat doll we
 
atazungumzwa rasmi tarehe 2 november 2015 atakavyo apishwa rasmi kuwa rais wa awamu ya tano hivyo nyie wazururaji a.k.a panya road endeleeni tu kuneng'eneka na kujidanganya.

Kaka kubali tu yaishe. Uso umeumbwa na soni.
 
Magazeti ya leo yaripoti mafuriko ya jana huko mbeya!!😂😂😂
 

Attachments

  • 1439616941995.jpg
    1439616941995.jpg
    62.4 KB · Views: 1,353
  • 1439616970660.jpg
    1439616970660.jpg
    57.9 KB · Views: 808
  • 1439617008155.jpg
    1439617008155.jpg
    63.5 KB · Views: 806
raha sana leo saa 4 tu yameisha sokoni ngoja niwahi moja wapo.
 
yule kamanda wa polic aliyesema polisi imepiga marufuku maandamano anaitwa nani vile?.
 
Haijawahi tokea kwakweli,tuseme ukweli pale unapostahili kusemwa japo nipo kwenye shule ya UMOJA WA JUMUIA YA WAZAZI CCM,nathubutu kusema Bulembo anisamehe kwa kukubali ukweli kua CCM imechokwa.
 
Back
Top Bottom