Picha : Mapokezi ya Lowassa Mbeya

Picha : Mapokezi ya Lowassa Mbeya

mchambuzixx

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
1,292
Reaction score
946
View attachment 276131red brigade wakiwa kaziniView attachment 276132airport kukiwa full

IMG-20150814-WA0015.jpgIMG-20150814-WA0016.jpgIMG-20150814-WA0017.jpgIMG-20150814-WA0018.jpg

hatari tupu watu ni wengi sana kwa hakika mbeya inazizima leoo11141303_867202579994981_2240698811362823358_n.jpg11225276_895281800564842_4989354877730386457_n.jpg11180623_846793325406068_243806141538606826_n.jpgView attachment 27625611903793_10203565437776888_3409798732472190279_n.jpg11905395_10203565437016869_2057379342475825480_n.jpg
 

Attachments

  • IMG-20150814-WA0021.jpg
    IMG-20150814-WA0021.jpg
    84.3 KB · Views: 4,070
Picha zingine zinakuja kwa wingi tunaweka mambo sawa
 
hakika hakuna anayeweza kuzuia volcano kulipuka!!! Matumaini makubwa ya wananchi
yapo ukawa. Rai yangu, waacheni wananchi waamue na sio kufanyiWa maamuzi na kundi la wachache!
Na hiyo ndiyo demokrasia ya kweli!! Tunataka mabaliko. Period!
 
lowasa hajapanda hata ndege dar ila huku ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaa...watu nyomiiiiiii
 
Hivi endapo ukawa watashika dola, hiyo red brigade ya CHADEMA ndo itakufa au watakuwa na majukumu gani?
 
ccm wakishinda mwaka huu kwel ntaamini kuwa uchawi. wizi, na miujiza ya mungu wa lumumba na tutaingia kwenye record ya dunia kuwa nchi inayoongoza kwa wizi tena wa kitoto wa kura
 
Back
Top Bottom