Picha: Mafuriko CCM, tafadhali tuachieni watoto wetu wapate elimu na si kuongezea vichwa kwenye mikutano iliyosusiwa na wazazi wao!

mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
29,363
2,000
Unataka wafundishe ukweli waichukie serikali ya ccm?
Ccm Wana akili wanaanzia ngazi ya chini kabisa.
Mpaka mtoto anakua anajua ccm ndo baba wa Tanzania..
Hao watoto ndo basi Tena wameshakuwa ccm damu
Ni hekima kufanya kila jambo kwa wakati sahihi. Kwa umri wao walipaswa kufundishwa elimu ya uraia huko shule, kujua wajibu na haki zao kama raia na si itikadi za vyama vya siasa.

Tungekuwa na 'NATIONAL VISION AND MISSION' huu ungekuwa wakati sahihi kuwafunza ili hapo baadaye waweze kuamua itikadi za kufuata kwa kuzingatia 'NATIONAL VISION AND MISSION'.

Unamfundisha mtoto itikadi ya chama, na chama kinaweza kupita. Hicho chama kikifa huyo mtoto anabakije kichwani mwake na huo upupu mliomjaza?

Bila shaka NDOA ni jambo jema sana, unadhani ni kwa nini jamii haianzi kuwaingiza watoto kwenye ndoa wakiwa wadogo ili wapate uzoefu?

Hicho unacho dhani ni sahihi kufanywa na hao ccm nakuhakikishia ni ulafi wa madaraka unaofanywa, wapotoshe watoto na kuwajaza ujinga tangu utoto ili wao waendelee kutawala.

Unatoaje watoto shule waende kushuhudia upuuzi wenu?!! Tena bora mngekuwa hata na sera za maana za kuwaambia, mnaenda kuwaonesha show za hao wasanii wenu vilaza.
 
gspain

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,771
2,000
Unataka wafundishe ukweli waichukie serikali ya ccm?
Ccm Wana akili wanaanzia ngazi ya chini kabisa.
Mpaka mtoto anakua anajua ccm ndo baba wa Tanzania..
Hao watoto ndo basi Tena wameshakuwa ccm damu

Kwa taarifa yako, labda kama we ni mtoto wa juzi, tabaka kubwa la leo lilipita kwenye kitu kinaitwa CHIPUKIZI.

Huo ulikuwa ni utaratibu wa kuwamezesha watoto itikadi za ccm na kuwaandaa wakikua wawe watiifu kwa ccm, ila leo tunaona tabaka hilo lilivyo geuka na kuipinga ccm.

Yaani elimu yenyewe kimeo, huduma za kijamii kama maji, umeme, afya nk ni za kusuasua, ajira hakuna, watumishi wanalia, wastaafu wanadhulumiwa mafao, umaskini umekithiri, mikopo ya elimu tabu, wakulima wanadhulumiwa, uongozi wanarithishana nk nk, then uwaambie watu ccm ndio baba yao wakuelewe?!!
 
mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
29,363
2,000
Ccm Wana mtaji wa watu hawategemei vijana peke yao.
Usisahau akina mama,wazee, na wale ambao wameajiliwa serikali.
Na ukumbuke vijana wengi si wapiga kura wengi ni mashabiki wakati hata Kadi ya kupigia kura Hana.
Wapigaji kura wametulia tu hawana maneno mengi
Kwa taarifa yako, labda kama we ni mtoto wa juzi, tabaka kubwa la leo lilipita kwenye kitu kinaitwa CHIPUKIZI.

Huo ulikuwa ni utaratibu wa kuwamezesha watoto itikadi za ccm na kuwaandaa wakikua wawe watiifu kwa ccm, ila leo tunaona tabaka hilo lilivyo geuka na kuipinga ccm.

Yaani elimu yenyewe kimeo, huduma za kijamii kama maji, umeme, afya nk ni za kusuasua, ajira hakuna, watumishi wanalia, wastaafu wanadhulumiwa mafao, umaskini umekithiri, mikopo ya elimu tabu, wakulima wanadhulumiwa, uongozi wanarithishana nk nk, then uwaambie watu ccm ndio baba yao wakuelewe?!!
 
Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,178
2,000
Hawa ndio wale kura milion 5 zilizokwisha andaliwa View attachment 1609310

Hawa ndio wale kura milion 5 zilizokwisha andaliwa View attachment 1609310
Muangalie huyu mama...jamani katoto hakataki, mbona kulazimishanaaa? Kuwa CCM ni laana ya namna fulani...

blob.jpg

Mtoto hana choice...huyu akikua hatataka kuisikia CCM!​
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom