Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 6,289
- 10,998
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona sasa kazeeka kuliko baba, au shauri ya hiyo chupa nyeusi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona sasa kazeeka kuliko baba, au shauri ya hiyo chupa nyeusi!
Jack daniels ndani ya nyumbiSijui ni wapi ila nafikiri wamejumuika pamoja kama ishara ya kuadhimisha sikukuu ya Pasaka, bila shaka hawakusherehekea kama tulivyoelekezwa na Mamlaka.
View attachment 1743440
Hata tuliompa Kura tulijua na zile kebehi ndio zilifanya watu wampe Kura ni kweli alikuwa mgonjwa kama Jiwe alivyokuwa mgonjwa. Uhai ni tunu ya MWENYEZI sio binadamu.., pamoja na udhaifu wake ona mama na watoto walivyo na furaha.Lakini tuweke mengine pembeni.
Ile Kampeni Lowassa hakuifanyia haki hata kidogo.
Ni lazima kuna kitu kilikuwa/kina msumbua.
Yule Lowassa Waziri Mkuu wa Kikwete, yule mwenye 'kasungura ka taifa' angekuwepo kwenye kampeni zile mambo yangekuwa magumu sana kwa Magufuli kutoboa.
Kwani huyo wa kwenu alishinda kwa kura halali?Lowasa hakuwa na sifa za kuingia Ikulu kwa sababu alikuwa ni FISADI aliyekubuhu. Ufisadi wake uliwekwa wazi na CDM japo baadaye wakamleta kwa wananchi eti awe rais wao. Bahati mbaya raia wengi si no brain hivyo wakampiga chini. Hakukosa urais kwa sababu ni mgonjwa.
Si walishatoka mkuu wakalipaSiomwoni Mkwe wa Mzee,kikana Sioi.
Bado anasota rumande?
Ndio nilikuwa namtafuta hapo kwenye picha simuoni.Au ndio aliyepiga picha?Si walishatoka mkuu wakalipa
Inawezekana mkuuNdio nilikuwa namtafuta hapo kwenye picha simuoni.Au ndio aliyepiga picha?
😆😆😆😆Ndio nilikuwa namtafuta hapo kwenye picha simuoni.Au ndio aliyepiga picha?
Hata hivyo hao jamaa wanafurahia kifo cha Jiwe.Sio kwa kumsotesha hivyo mkwe wao segerea!Wangekuwa ni wapinzani ndio wanakula na kunywa hivyo, muda huu wangekuwa wameshakamatwa kwa madai kuwa wanasherehekea kufa kwa Magufuli.
Na kigogo ameiona hiyoSijui ni wapi ila nafikiri wamejumuika pamoja kama ishara ya kuadhimisha sikukuu ya Pasaka, bila shaka hawakusherehekea kama tulivyoelekezwa na Mamlaka.
View attachment 1743440
Mzee Lowassa yuko fit anakula na kunywa vitu anavyovipenda, kwa maana leo ni Pasaka na yule mzee wa Chato alishakufa na kuzikwa!
Yote kwa yote, wote hapo kwenye Picha ni makada wa CCM, wanasherehekea....
Wangekuwa ni wapinzani ndio wanakula na kunywa hivyo, muda huu wangekuwa wameshakamatwa kwa madai kuwa wanasherehekea kufa kwa Magufuli.
Allah fundi sheikh... walisema kajinyea huku "mwamba" akimpigia push-ups kuithibitishia dunia alivyo "mzima" ilhali viungo muhimu vya ndani vinaendeshwa kwa codes za mabeberu! Ila Mungu, daaah; mwacheni aitwe Mungu peke yake.
Mmmh so Catholics are not christiansLowassa Mkristo ndio maana hajaweza kuwa raisi ..nchi hii viongozi ni Waislamu na Catholics...Ila siku ikipata raisi Mkristo itapaa Sana ..povu ruksa..
Ila mazee k vant noma sana,hii picha naona mawingu mawingu tu sijui hata Mama salma kikwete amekaa upande gani hapo.Sijui ni wapi ila nafikiri wamejumuika pamoja kama ishara ya kuadhimisha sikukuu ya Pasaka, bila shaka hawakusherehekea kama tulivyoelekezwa na Mamlaka.
View attachment 1743440
Kweli K Vant , nilionywa nisinywe pombe ya bei rahisi , nadhani leo nimeelewaIla mazee k vant noma sana,hii picha naona mawingu mawingu tu sijui hata Mama salma kikwete amekaa upande gani hapo.
Kwanza huyu mzee hata hajui kama Magufuli amekata upepoWanapukutika yeye yupo tu...pamoja na mapushapu lakini wapi.
Masai ni Masai kuna kikombe cha bati hapo.Naona Fred ameshapiga hiyo chupa zaidi ya robo tatu. Yupo vizuri
Hazeeki.Mama lowassa mzurii jamani
Hasira zote za jiwe kwa wanachi zilitokana na hasira ya kupigwa chini na lowassa kwenye sanduku halali LA kura,kale ka judge lubuva kakapindua.Lowasa hakuwa na sifa za kuingia Ikulu kwa sababu alikuwa ni FISADI aliyekubuhu. Ufisadi wake uliwekwa wazi na CDM japo baadaye wakamleta kwa wananchi eti awe rais wao. Bahati mbaya raia wengi si no brain hivyo wakampiga chini. Hakukosa urais kwa sababu ni mgonjwa.
Ni Kijana kuliko kikwete,sema Yale ma life style yao ya kupiga raha toka akiwa mkurugenzi Wa Aicc ndo yamfikisha hapo yani mtibwa kama yote hapo.Lowasa anazidi tu kupendeza nakuwa kijana na afya yake ina imarika