Picha: Lowassa akiwa na familia yake

Picha: Lowassa akiwa na familia yake

Maisha ni fumbo. Mara oh Lowasa anataka afie ikulu, mara Lowasa ni mgonjwa, n.k. Pamoja na yote, Lowasa huyo hapo. Yu mzima akifurahia na uzao wake.

Kuna wakati niliwahi kulaa naye kwa muda mfupi, nilistaajabu jekima ya Lowasa. Yanaweza kusemwa mengi, ukweli ni kuwa huyu mzee ana Roho wa Mungu.

Mungu wetu, tunamwomba aendelee kumjalia maisha ya furaha katika uzee wake Mzee Lowasa. Shule za kata ni wazo lake, na alilisimamia hasa. Mradi wa maji kutoka ziwa Victoria ni uamuzi na dhamira yake. Alikuwa kiongozi mwenye uthubutu na mwenye hekima.


Mungu ampe uhai
 
Ukiwa na hela raha sana maana familia inakua pamoja,ukisema sikukuu mnakuja nyumbani wanawahi fasta. Ila kajamba nani hawezi ita watoto wote wakaitikia wito sikukuu kama hii
Raha ya familia hizi kila mtu anakuja kwa usafiri wake ...sio wengine hadi mtumiwe nauli au kama kivuruge sana wanakukatia tiketi kbs maana wakikupa hela unapita nayo hivi hehhee
 
Nape hata ajifanye mtu vipi ni shetani anaeishi alisema hawapelek mgonjwa ikulu taifa likaomboleza ???
Swala la ugonjwa halikuwa kigezo cha kuteuliwa na CCM kuwa mgombea urais. Wakati Magufuli anateuliwa ilikuwa inafahamika aliwekewa dynamo mwilini kusaidia kuendesha moyo wake. Kwa vile hakuwa fisadi akapitishwa kugombea urais. Lowasa alikatwa kwa ufisadi wake sio ugonjwa.
 
Ndo huyu huyu Chadema walimuweka kwenye list of shame na wakamtangaza kwa mbwembwe pale mnazi mmoja halafu wakafanya kuwa ndo mgombea wao wa urais na Tundu akasema Chadema wako tayari kushirikiana hata na shetani ili kuiondoa CCM madarakani.
Hao ndo Chadema ambayo mgombea wao aliamua kushirikiana na shetani kawa shoga ili kuwa rais.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Shoga alimtomba babako
 
Ni fisadi
Mpenda madaraka hilo hakina ubishi
 
Mkuu ni lini tutaona picha zako na familia yako maana unapost za wenzako tu, hujisikii hata ka aibu kidogo.

Anyways nakumbuka pale jangwani wakati wa ufunguzi wa kampeni 2015 watu wanasubiria hotuba kali toka kwa mzee , akaishia kuwaambia wafuasi wake watakuta kila kitu mtandaoni. Chadema na wagombea wake.
 
Mwenzangu maisha haya. Muda wote mnakua na wasi wasi wa kuombwa hela mara kuwaza soda zisije kuisha au kina nanilii kuiba minofu ya kuku. Bado wale team mirinda nyeusi kutwa kutumwa tumwa. Mtu anaona ya nini haya si bora nibaki nilipo
Raha ya familia hizi kila mtu anakuja kwa usafiri wake ...sio wengine hadi mtumiwe nauli au kama kivuruge sana wanakukatia tiketi kbs maana wakikupa hela unapita nayo hivi hehhee
 
Huyu mzee kaokolewa sana kwenye kushindwa uchaguzi ile nafasi tanzia isingekwepeka. Ukiona unakwepeshwa jambo usiwe king'ang'anizi,kaa kando shuhudia kila tukio utaelewa kwann ulishindwa jambo hilo
..zile pushups za uchaguzi wa 2015 ziko wapi sasa...acheni Mungu aitwe Mungu bana....
 
Back
Top Bottom