Picha: Lowassa akiwa na familia yake

hili ni funzo kwamba tafuta hela,wacha kusikiliza story nani kasema kipi.

mzee wa chato amelala kaburini,mkewe analipwa mpaka kifo,watoto wanatunzwa,na wana uhakika wa maisha mpaka wapate utashi.

wewe mwenzangu na mimi endelea kuhesabu wanaokufa kabla ya wengine.
Watu walitafuta hela wazipata jiwe akapita nazo.
 
Waliodhihaki afya yake nakujidai wananguvu wamepita hivi mzee anawachekiiiii hiiiii...
Angepewa hakiyake 2015 Leo tungekuwa tumenawiri mmno kama taifa kiuchumi,kiuzalendo,kielimu nk
 
Ndo huyu huyu Chadema walimuweka kwenye list of shame na wakamtangaza kwa mbwembwe pale mnazi mmoja halafu wakafanya kuwa ndo mgombea wao wa urais na Tundu akasema Chadema wako tayari kushirikiana hata na shetani ili kuiondoa CCM madarakani.
Hao ndo Chadema ambayo mgombea wao aliamua kushirikiana na shetani kawa shoga ili kuwa rais.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Tangu lini mtumia TECNO akawa na akili?
 
Ni vizuri,Wazee na wenye magonjwa Sugu wajihadhari sana

Ndio maana Vasco Dagama anavaa barakoa!!! Lakini hata kama unavaa Barakoa halafu ukiwa Msoga au Bagamoyo anajichanganya hovyo corona inaweza kumnasa!! Mwandosya alikuwa muangalifu sana lakini ikampata!!!
 
... walisema kajinyea huku "mwamba" akimpigia push-ups kuithibitishia dunia alivyo "mzima" ilhali viungo muhimu vya ndani vinaendeshwa kwa codes za mabeberu! Ila Mungu, daaah; mwacheni aitwe Mungu peke yake.
Ngoja wanyee ndoo wao safari hi
 
Back
Top Bottom