Picha: Lowassa akiwa na familia yake

Ningekua Lowassa ningewatembelea wajane, na kuwapa pole.
Na ningezuru kaburi la Mtupoli "MAKUSUDI TU"
🤸🏾‍♂️🤸🏽‍♀️🤸🏾‍♂️🤸🏽‍♀️🤸🏾‍♂️🤸🏽‍♀️🤸🏾‍♂️🤸🏽‍♀️🤸🏽‍♀️🤸🏾‍♂️
 
Kuna pisi 1 nimeiona hapo nyuma,kama ya kinyarwanda yani

kuna toto la kiume hapo limechukua sura ya mzee wake,wanafanana ka maparachichi...
 
Sijui ni wapi ila nafikiri wamejumuika pamoja kama ishara ya kuadhimisha sikukuu ya Pasaka, bila shaka hawakusherehekea kama tulivyoelekezwa na Mamlaka.

View attachment 1743440
Huyo mrembo hapo nyuma mwenye blue na nyekundu nilikutana Nayo lengai bar pale Saba Saba maonyesho mle ndani wiki km tano hivi nyuma

Nipo zangu napata ugali na lost ya kitimoto ghafla ikapaki V8 ya maana akashuka demu mkali ,akapigiwa makofi na wadada km 30 waliokuwa karibu na nilipokaa

Nikamuuliza mshikaji pembeni huyu binti ni Nani akanijibu ni mtoto wa Lowasa ,yupo na hao mabinti waliompigia makofi wakati anaingia si unajua wiki ya wanawake hii tarehe 8 inakaribia

Nikajiambia wacha nimsubiri amalize kikao nimsaundishe lkn likanijia wazo lingine ghafla " Satoh Hiroshi katafute hela" ..nikampigia bodaboda wangu simu nikasepa

Tutafute hela wandugu!!

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Waliosema hawataki marehemu Ikulu haya sasa marehemu sijui ni yupi?
 
Back
Top Bottom