Picha: Lowassa akiwa na familia yake

Picha: Lowassa akiwa na familia yake

Huyu ndio yule walisema mgonjwa
Ndo huyu huyu Chadema walimuweka kwenye list of shame na wakamtangaza kwa mbwembwe pale mnazi mmoja halafu wakafanya kuwa ndo mgombea wao wa urais na Tundu akasema Chadema wako tayari kushirikiana hata na shetani ili kuiondoa CCM madarakani.
Hao ndo Chadema ambayo mgombea wao aliamua kushirikiana na shetani kawa shoga ili kuwa rais.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mzee Lowassa yuko fit anakula na kunywa vitu anavyovipenda, kwa maana leo ni Pasaka na yule mzee wa Chato alishakufa na kuzikwa!
Yote kwa yote, wote hapo kwenye Picha ni makada wa CCM, wanasherehekea....

Wangekuwa ni wapinzani ndio wanakula na kunywa hivyo, muda huu wangekuwa wameshakamatwa kwa madai kuwa wanasherehekea kufa kwa Magufuli.
 
Maisha ni fumbo. Mara oh Lowasa anataka afie ikulu, mara Lowasa ni mgonjwa, n.k. Pamoja na yote, Lowasa huyo hapo. Yu mzima akifurahia na uzao wake.

Kuna wakati niliwahi kulaa naye kwa muda mfupi, nilistaajabu jekima ya Lowasa. Yanaweza kusemwa mengi, ukweli ni kuwa huyu mzee ana Roho wa Mungu.

Mungu wetu, tunamwomba aendelee kumjalia maisha ya furaha katika uzee wake Mzee Lowasa. Shule za kata ni wazo lake, na alilisimamia hasa. Mradi wa maji kutoka ziwa Victoria ni uamuzi na dhamira yake. Alikuwa kiongozi mwenye uthubutu na mwenye hekima.
Kkk
 
Kkkkkkk
 
Ndo huyu huyu Chadema walimuweka kwenye list of shame na wakamtangaza kwa mbwembwe pale mnazi mmoja halafu wakafanya kuwa ndo mgombea wao wa urais na Tundu akasema Chadema wako tayari kushirikiana hata na shetani ili kuiondoa CCM madarakani.
Hao ndo Chadema ambayo mgombea wao aliamua kushirikiana na shetani kawa shoga ili kuwa rais.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
ndio huyu huyu ccm walisema ni mgonjwa sana. wakasema ana parknson desease kwa hiyo ikulu hawatapeleka wagonjwa.
sasa sijui imekuwaje bado yupo hai, maana aliepelekwa kaenda.
 
Sijui ni wapi ila nafikiri wamejumuika pamoja kama ishara ya kuadhimisha sikukuu ya Pasaka, bila shaka hawakusherehekea kama tulivyoelekezwa na Mamlaka.

View attachment 1743440

Hii ingekuwa "First Family" kupitia CHADEMA 2015, hakika nchi ingekuwa full Upendo na furaha bila kusahau kula "bata" baada ya kila raia kufanya kazi za aina zote za kujiingizia kipato na kupelekea kufurahia maisha.
 
Nape hata ajifanye mtu vipi ni shetani anaeishi alisema hawapelek mgonjwa ikulu taifa likaomboleza ???
Lowasa hakuwa na sifa za kuingia Ikulu kwa sababu alikuwa ni FISADI aliyekubuhu. Ufisadi wake uliwekwa wazi na CDM japo baadaye wakamleta kwa wananchi eti awe rais wao. Bahati mbaya raia wengi si no brain hivyo wakampiga chini. Hakukosa urais kwa sababu ni mgonjwa.
 
Back
Top Bottom