Picha: Lowassa akiwa na familia yake

Picha: Lowassa akiwa na familia yake

Mwenzangu maisha haya. Muda wote mnakua na wasi wasi wa kuombwa hela mara kuwaza soda zisije kuisha au kina nanilii kuiba minofu ya kuku. Bado wale team mirinda nyeusi kutwa kutumwa tumwa. Mtu anaona ya nini haya si bora nibaki nilipo
Hahahahahaha nimecheka sana jamani..ila familia za kimaskini jaman wanajua kusimanga..khaa....yaan itaanzishiwa tu vibifu wakutoe kwenye reli🤣🤣!
 
Kuna sehemu hadi wa leo sina hamu ya kwenda,unakula wanakuangalia mdomoni huku ukilaumiwa unatafuna vibaya kisa wamepika wao msosi ati mbona kwako hautafuni hivi😂😂😂😂😂

Hahahahhahahaa...dah..maisha haya🤣🤣🤣
 
Kuna binti mmoja hapo ndio kaifanya picha ipendeze aisee, bila shaka atakuwa na vinasaba na mama Lowassa...utafikiri wale mabinti wa Gisenyi
 
Huko uani lazima kuna vi mnyama mbuzi vinachomwa ili kuja ku neutralize hiyo alcohol kwa tumbo. Dah maisha mengine matamu sana
 
Dah 2015 CCM walisema hatutaki mgonjwa Ikulu, leo hii waliesema mzima mpiga push up anaitwa hayati alafu wwliyesema mgonjwa bado anadunda tu
 
Sijui ni wapi ila nafikiri wamejumuika pamoja kama ishara ya kuadhimisha sikukuu ya Pasaka, bila shaka hawakusherehekea kama tulivyoelekezwa na Mamlaka.

View attachment 1743440
Eeeenhe Heee.

Hii picha ina mengi!
1. Wanawake watatawala dunia.

2. Vinywaji

3. Tabasamu

4. Hii ilikuwa ni lini? Najua Lowassa ni muungwana sana. Hawezi kuweka sherehe kama hii!
 
Maisha ni fumbo. Mara oh Lowasa anataka afie ikulu, mara Lowasa ni mgonjwa, n.k. Pamoja na yote, Lowasa huyo hapo. Yu mzima akifurahia na uzao wake.

Kuna wakati niliwahi kulaa naye kwa muda mfupi, nilistaajabu jekima ya Lowasa. Yanaweza kusemwa mengi, ukweli ni kuwa huyu mzee ana Roho wa Mungu.

Mungu wetu, tunamwomba aendelee kumjalia maisha ya furaha katika uzee wake Mzee Lowasa. Shule za kata ni wazo lake, na alilisimamia hasa. Mradi wa maji kutoka ziwa Victoria ni uamuzi na dhamira yake. Alikuwa kiongozi mwenye uthubutu na mwenye hekima.
Amefia Ikulu mwingine!. Yule mama mwenye mtoto wake Mbunge chizi alisema, 'Bora amehamia upinzani akafie huko asituletee gharama za mazishi CCM' Akafa yeye Kwa ajali ya gari, Ubunge akapewa mwanae mgonjwa WA akili.
 
Huko uani lazima kuna vi mnyama mbuzi vinachomwa ili kuja ku neutralize hiyo alcohol kwa tumbo. Dah maisha mengine matamu sana
Sas familia zetu tungekuwa tumenunua mizinga 2 ya konyag na k vant 1 kubwa na balimi za moto mradi mlewe haraka kupunguza gharama..hahaa mbuzi mnaambiwa mle kidg na kesho ni siku😅
 
Amefia Ikulu mwingine!. Yule mama mwenye mtoto wake Mbunge chizi alisema, 'Bora amehamia upinzani akafie huko asituletee gharama za mazishi CCM' Akafa yeye Kwa ajali ya gari, Ubunge akapewa mwanae mgonjwa WA akili.
Kwani selina alikufa kwa ajali? Au unamsemea yupi..maana Mlingwa ndo pysc bungeni
 
ndio yeye
Lakini tuweke mengine pembeni.

Ile Kampeni Lowassa hakuifanyia haki hata kidogo.

Ni lazima kuna kitu kilikuwa/kina msumbua.

Yule Lowassa Waziri Mkuu wa Kikwete, yule mwenye 'kasungura ka taifa' angekuwepo kwenye kampeni zile mambo yangekuwa magumu sana kwa Magufuli kutoboa.
 
Back
Top Bottom