Picha: Kikwete amtembelea aliyemwagiwa tindikali

Picha: Kikwete amtembelea aliyemwagiwa tindikali

Status
Not open for further replies.
Nimeshtshwa na taarifa humu jamvini kuwa mh Rais Kikwete amtembelea mmiliki wa home shopping centre aliemwagiwa tindikali ilhali mauaji yaliotokea Arusha kwa mkutano wa kuhtimisha kampeni wa CHADEMA mh.Rais na viongozi wengne wa serikali walipuuza na kudhihaki wagonjwa

Wenye uelewa mkubwa,mnapata taswira gani katika hili?
 
JK amesimama kwa ADABU mbele ya mfadhili wake mkuu, unaweza kuta hata amemuamkia "shikamoo boss"....
ETI, HUENDA AMEMUAMKIA "SHIKAMOO BOSS"- KWA UPEO WAKO WA KUNG!AMUA MAMBO, IMEBIDI NIKUPE LiKE.
 
Wewe wa wapi!? ccm si inajali maslahi ya wafanyabiashara kwanza, ndo maana hata mtoto wa mkulima alishaacha kulima!
 
kazi unayo.

999856938.JPG
 
Kashifa kubwa kubwa zikiandama mtu baadae anazoea na anaona ni kama upepo kwahiyo husubiri upite tu
 
Huyu baba ni mnafiki sana, Mwangosi na waliouliwa na polisisiemu kule Arusha kawaona kama mijibwa!
 
Huyu baba ni mnafiki sana, Mwangosi na waliouliwa na polisisiemu kule Arusha kawaona kama mijibwa! Pinda mkubwa huyu
 
Kuchagua mtu katika uliberali wa demokrasia ni pamoja na kukubali impact/matokeo yake

hili ni shule na fundisho kwao waliomchagua......nilili tarajia hili kwa jk na mhanga wa tindikali

Ndege wafananao huruka pamoja.....
 
Faiza,
What are you trying to say? Huoni aibu rais wako kufunga safari hadi Sauzi kwenda kumwona muuza madawa ya kulevya simply because ana deals na familia yake? What a shame!
Kaka yangu Jasusi, kweli siku nyingi hauko Tanzania, rudi bongo uone watu wanavyopiga kazi, maneno ya vijiweni hayatakusaidia.
 
Last edited by a moderator:
Wallah kweli lofa hana haki, Tz living legend (Muhidin Gurumo) anaumwa siku nyingi. JK mpenzi mkubwa wa Sikinde hata kwenda mjulia hali ameshindwa.ila Tajiri kamwagiwa tindikali angalia alivyokwenda na alivyosimama kwa heshima.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom