Jamani muwe mnakamikisha habari, wapi South Afrika kwa mmiliki wa Home Shopping Centre au Arusha kwa sheikh aliyemwagiwa tindikali??
Huyu jamaa si ndo yule muuza unga na mmiliki wa kile kikundi cha kihalifu cha Ze popobawa?
Inatia kinyaa! Mwandosi kapigwa bomu hakwenda kumuona mfiwa,Ulimboka alin'golewa kucha hakutoa pole ila huyu swaiba kwa uzinzi wake anafanya raisi atumie fedha zetu kwenda kumtembelea am sick!Jamani muwe mnakamikisha habari, wapi South Afrika kwa mmiliki wa Home Shopping Centre au Arusha kwa sheikh aliyemwagiwa tindikali??
Huyu jamaa si ndo yule muuza unga na mmiliki wa kile kikundi cha kihalifu cha Ze popobawa?ok, now I know!!!!
tindikali za chadema zitamaliza watu.
Sibanduki hapa, lazima nitagundua mengi tu. Kuna nini hapa? Alafu Mzigo wa Mwiru na Riz sijaelewa.
hospital zenye furniture nzuri hivyo zpo nchi gan Africa... kwahiyo baba mwenye nyumba kaenda kumuona shosti ake
Huyu jk anadhalilisha kiti cha Rais, na heshima ya Taifa kwa ujumla. Mkuu wa nchi hapaswi 'kuwatembelea' wagonjwa... Hasa kwenye maswala 'controversial' yanayohitaji uchunguzi wa kipolisi. Dunia nzima haikubaliki, kuna nini kinachoendelea hapa?