Picha: Kikwete amtembelea aliyemwagiwa tindikali

Picha: Kikwete amtembelea aliyemwagiwa tindikali

Status
Not open for further replies.
Mi bado sijaelewa hapo huyo muathirika ni yupi na ni wapi? Na ilikuwa ni ziara special kwa wagonjwa au?

Huyu ni SAID MOHAMED SAAD mmiliki wa home shopping center. yupo SA kwa matibabu ya kumwagiwa tindikali masaki. Ni mafia wa kutupwa, halipi kodi na ni partner wa kibiashara na familia Kikwete.....ni bahati mbaya sana kutembelewa na JK means naye anasapoti wafanyabiasha wakubwa wasiolipa kodi. Huku hakiwakomalia walalahoi kulipa kodi. Pitia huu uzi umfahamu zaidihttps://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/493310-picha-ya-mmiliki-wa-home-shopping-center-4.html#post6923953

https://www.jamiiforums.com/jamii-i...d-na-ghalib-saad-wa-home-shopping-center.html

https://www.jamiiforums.com/jamii-i...id-mohammed-saad-wa-home-shopping-center.html
 
Hii nchi sasa naona imekuwa kama haina jeshi la polisi, mtu atamwagiwaje tindikali mbele ya kituo kikubwa cha polisi? juzi juzi wezi wamevunja kituo kikubwa cha Polisi Mwanza, hivi mwizi/jambazi anaanzaje kufikiria kuiibia jeshi la polisi? Na tunapenda kufahamu wahusika hapo kituoni bado wanavaa sare za polisi au mmeshawaondoa?

Mr President seriously something is wrong with your Police force naona matukio ya kihalifu yanaongezeka siku hadi siku na sisi wananchi tunakosa imani kabisa sasa na jeshi lako. Tukifika majumbani kwetu usiku magetini tunakaa kwa wasi wasi hadi geti lifunguliwe ndio tunashusha pumzi. Tumeshafika pahala sasa hata ukisimamishwa usiku na polisi hujui kama ni polisi au jambazi.Jeshi liwekeze nguvu kwenye kutafuta source na kama kuna supplier wa hizi kemikali au kuna kikundi ndio kinafanya hizi shughuli kwa malipo plz wapeleke puta hawa ma afande wako warudi kazini watuletee majibu.

Ni aibu sana polisi wanajipanga kando kando ya barabara na bunduki zao wakiona mtu kabeba kochi lake anahama ndio wanasimamisha. No wonder kule Mtwara mmepeleka wanajeshi maana hawa jamaa nguo za khaki wameshindwa kabisa kufanya kazi zao. Tatizo nini vitendea kazi? morale? ujuzi? au yote kwa mpigo? Tulitegemea polisi wawe pro-active wajikite kwenye kutafuta vyanzo ili matukio mengine yazuiwe kabla hayajatokea.

Mr President your police force is a huge dissapointment na kama hauta act sasa utakuwa na trip nyingi za Kutembelea victims wa matukio kama haya !!!
Mkuu! Ongera kwa ushauri wako. Ila ni kama umejiumiza kufikiria na kuandika yote haya. Rais kisha ingia kwenye genge la maharamia kisha wekwa mfukoni. Walio chini yake wote wameshajua kuwa kuna uwuni unatendeka magogoni sasa na wao kila moja anaangalia usawa wa kamba yake. Kwenda kumuangalia mgojwa ni zuga tu, ni kuwaadaa wadanganyika.
 
Sijaelewa hiyo sampling method aliyoitumia mheshimiwa tena kwa pesa nyingi za nchi kwenda kumtembelea huyo jamaa....kwan arusha tu pale si kuna sheik nae alimwagiwa tindikali?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hiyo picha itakuwa photoshop,kweli mh.alienda kumuona huyo jamaa? si ndio huyu tunasikia anakwepa ushuru na kufanya umafia kila kukicha?
 
Picha yake hii hapa:

Saud.jpg
 
Huyu ni SAID MOHAMED SAAD mmiliki wa home shopping center. yupo SA kwa matibabu ya kumwagiwa tindikali masaki. Ni mafia wa kutupwa, halipi kodi na ni partner wa kibiashara na familia Kikwete.....ni bahati mbaya sana kutembelewa na JK means naye anasapoti wafanyabiasha wakubwa wasiolipa kodi. Huku hakiwakomalia walalahoi kulipa kodi. Pitia huu uzi umfahamu zaidihttps://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/493310-picha-ya-mmiliki-wa-home-shopping-center-4.html#post6923953

https://www.jamiiforums.com/jamii-i...d-na-ghalib-saad-wa-home-shopping-center.html

https://www.jamiiforums.com/jamii-i...id-mohammed-saad-wa-home-shopping-center.html

Mkuu umemaliza yote. Sina swali tena mkuu. Wakati walalahoi tunalalamikia tozo ya sim card, jk anakula sahani moja na watu ambao Mwalimu alikuwa amewapa jina la 'MABEPARI' mchana kweupe. Halafu bado anatushangaa kwa nini hatuna 'uzalendo'. Wakati umefika kwa watanzania kusema kwa sauti kubwa IMETOSHA!
 
Mh sio alienda kuwachek kina masogange!!!!!!!!
 
Kumbe ukimwagiwa tindikali nyama za mwili zinakuwa hivyo!. Gosh, this is very bad.

Halafu kwa Tanzania huu mtindo wa mashambulizi kwa siraha ya tindikali unakuwa copycat.

Inasikitisha na kuogopesha.
 
Haya mashambulizi ya kumwagia watu tindikali yamezidi sasa. Ningependa kuona yanatungiwa sheria kali sana.
ndugu yangu kwani hata hayo yaliyokwisha tungiwa sheria kali kuna lipi jipya???yaan nchi yetu hii ni majanga kila pahala.
 
JK amesimama kwa ADABU mbele ya mfadhili wake mkuu, unaweza kuta hata amemuamkia "shikamoo boss"....

Hahaha hahaha :kev: mkuu chezea pesa wewe..dah kasimama kwa heshima na adabu.
 
Kumbe ukimwagiwa tindikali nyama za mwili zinakuwa hivyo!. Gosh, this is very bad.

Halafu kwa Tanzania huu mtindo wa mashambulizi kwa siraha ya tindikali unakuwa copycat.

Inasikitisha na kuogopesha.

Kwa kweli haya matindikali yamekuwa ni janga...ukute ni mwigulu ameratibu huyo boss wa kikwete akamwagiwa tindikali...nina wasiwasi na mkono wa mwigulu...yaani machale yananicheza.
 
thubutu!!!!!! Sio kwa zuma. Kwani kuna dongote bwagamoyo?

Chezena nchi corrupt wewe, Ngoja nikupe hint, Jinsi inavyofanyika.
DPP anaongea na kuandaa hati ya kukamatwa mtuhumiwa aliyekamatwa ughaibuni, ana log na Intertpol Bongo nao faster wana tuma taharifa workd wide kuwa mtujumiwa anatafutwa, gafla inafika Interpol alipo kamatwa mtuhumiwa na wanaweka makubaliano ya either kuendesha kesi faster ahukumiwe mtuhumiwa then akatumikie kifungo kwao ambapo akifika bongo anakuwa huru. Au wanasema wanakuja kumshtaki hukuhuku na akifika bongo kama kawa mambo tambarare.
Chezea Mtandao wewe!
 
Mkuu inatisha..ila hataweza kusafiri maana siku hizi kila kitu ni finger print...
 
Huyu ni SAID MOHAMED SAAD mmiliki wa home shopping center. yupo SA kwa matibabu ya kumwagiwa tindikali masaki. Ni mafia wa kutupwa, halipi kodi na ni partner wa kibiashara na familia Kikwete.....ni bahati mbaya sana kutembelewa na JK means naye anasapoti wafanyabiasha wakubwa wasiolipa kodi. Huku hakiwakomalia walalahoi kulipa kodi. Pitia huu uzi umfahamu zaidihttps://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/493310-picha-ya-mmiliki-wa-home-shopping-center-4.html#post6923953

https://www.jamiiforums.com/jamii-i...d-na-ghalib-saad-wa-home-shopping-center.html

https://www.jamiiforums.com/jamii-i...id-mohammed-saad-wa-home-shopping-center.html

Kwa uchafu huu bora afe mara moja huyu jamaa.
 
Hali ni mbaya sana nchini kwa mtindo huu!
Kama ikulu inaweza kujiingiza kwenye mambo machafu ya aina hii, tumebakia wapi?

Naomba watu wote kwa imani zao wamlilie Mungu ili atoe jibu la sababu ya mkubwa wa nchi kusafiri kimyakimya hadi "Sound Africa" bila kutujuza walipa kodi, wakati tuna msululu wa matukio yanayofanana na hayo hapa nchini na ambayo wala hakujigusa.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom