Picha: Kikwete amtembelea aliyemwagiwa tindikali

Picha: Kikwete amtembelea aliyemwagiwa tindikali

Status
Not open for further replies.
jk kuwatembelea wagonjwa ni ada yake. Mungu amempa uharaka na roho ya huruma kwenye maswala ya ugonjwa na misiba! Mungu amlipe mema kwa kumkinga na shari dhidi yake. nina wasiwasi na picha ya sauzi inaelekea jk kachomekwa kwenye hiyo picha kitaalamu
 
Huyo jamaa mwarabu, lakini kawa mbantu kweli kweli...
 
Huyo jamaa mwarabu, lakini kawa mbantu kweli kweli...
MuUngwana ni Muungwana na mwema wa watu ni yule hujali watu.... Ivyo sisi wa bantu tuliumbwa kwa kuunguzwa na kubabuliwa ? !! mwarabu atarudi kaa alivyo nasi tutabaki katulivyo. God bless JK na Tz
 
Hii nchi sasa naona imekuwa kama haina jeshi la polisi, mtu atamwagiwaje tindikali mbele ya kituo kikubwa cha polisi? juzi juzi wezi wamevunja kituo kikubwa cha Polisi Mwanza, hivi mwizi/jambazi anaanzaje kufikiria kuiibia jeshi la polisi? Na tunapenda kufahamu wahusika hapo kituoni bado wanavaa sare za polisi au mmeshawaondoa?

Mr President seriously something is wrong with your Police force naona matukio ya kihalifu yanaongezeka siku hadi siku na sisi wananchi tunakosa imani kabisa sasa na jeshi lako. Tukifika majumbani kwetu usiku magetini tunakaa kwa wasi wasi hadi geti lifunguliwe ndio tunashusha pumzi. Tumeshafika pahala sasa hata ukisimamishwa usiku na polisi hujui kama ni polisi au jambazi.Jeshi liwekeze nguvu kwenye kutafuta source na kama kuna supplier wa hizi kemikali au kuna kikundi ndio kinafanya hizi shughuli kwa malipo plz wapeleke puta hawa ma afande wako warudi kazini watuletee majibu.

Ni aibu sana polisi wanajipanga kando kando ya barabara na bunduki zao wakiona mtu kabeba kochi lake anahama ndio wanasimamisha. No wonder kule Mtwara mmepeleka wanajeshi maana hawa jamaa nguo za khaki wameshindwa kabisa kufanya kazi zao. Tatizo nini vitendea kazi? morale? ujuzi? au yote kwa mpigo? Tulitegemea polisi wawe pro-active wajikite kwenye kutafuta vyanzo ili matukio mengine yazuiwe kabla hayajatokea.

Mr President your police force is a huge dissapointment na kama hauta act sasa utakuwa na trip nyingi za Kutembelea victims wa matukio kama haya !!!
(kiukweli huyu alitafuta kugombea uraisi bila ya kujua maana ya uraisi ninini kwa wananchi wake.yaani yuko kimya tu au analalamika tu wakati raslimali zote anazo,mimi ningekuwa rais nchi hii ingekuwa mbali sana juu ya haki za binadamu pia maendeleo ya watu,
 
Chagonja yupo wapi? maana hukawii kusikia , alimwagiwa na maji yenye pilipili akajikuna na hatimaye akawa hivo!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom