TCleverly
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,921
- 873
Teh teh teh, wewe hata JK afanye nini hauwezi kumkubali.
ungenifahamu usingesema hivyo.....kuna vingi amefanya navikubali lakini siwezi kuwa impressed with few stunts.
Teh teh teh, wewe hata JK afanye nini hauwezi kumkubali.
Haya mashambulizi ya kumwagia watu tindikali yamezidi sasa. Ningependa kuona yanatungiwa sheria kali sana.
Teh teh teh, wewe hata JK afanye nini hauwezi kumkubali.
Twende mbele turudi nyuma,jamaa alimmwagia huyu mshikaji tindikali ni mtaalamu wa haya mambo na amebobea vizuri kwenye haya mambo,hebu iangalieni hiyo picha kwa makini sana.Jamani kunywa chai na JK pale mjengoni haimaanishi tupo salama sana kiasi cha kujisahau na kuanza kuwatendea watu wengine ndivyo sivyo.Alipandikiza hasira mioyoni mwa watu ambao nao wakamwekea siku katika Daudi.
Haya mashambulizi ya kumwagia watu tindikali yamezidi sasa. Ningependa kuona yanatungiwa sheria kali sana.
Alijimwagia akitaka msamaha wa kodi! Au ccm mnasemaje?
Kaka yangu Jasusi, kweli siku nyingi hauko Tanzania, rudi bongo uone watu wanavyopiga kazi, maneno ya vijiweni hayatakusaidia.
Hao wamwaga tindikali lini na hao atawakata mapembe yao??
Kwa maana ishakua kero sasa...
so watuhumiwa watabadilisha story au ushahidiSouth Africa mzee, lakini alienda kuokoa jahazi la Riz na Mwiru akaona pia amuone swahiba wake hospital alikolazwa. Si unajua alienda kinyemela