Picha itakayomsuta JK na wabunge wake mamilionea.....

Napenda kujua,ni nani mwingine ambaye ameshapeleka misaada binafsi pale MBAGALA baada au kabla ya SHIGONGO,MENGI NA MANJI(MANJI ALIENDA KUONESHA JEURI YA PESA NA DHARAU Baada Mengi kwa MOYO wake kutoa msaada).
Jibu lako lilenge viongozi wa kisiasa hasa wabunge ambao wamedai nyongeza ya posho kwa kigezo kuwa wanachangia pesa nyingi ktk majimbo yao.PIA NI VIONGOZI/WABUNGE WANGAPI NA WANAGARAMIWA NA NANI KUHAKIKISHA CCM INA SHINDA UCHAGUZI BUSANDA?
 
Safari Moja ya JMK na timu yake kwenda na kurudi Marekani yaweza kuondoa kero kama hizi.
 
Hii ndio hali halisi kule MBAGALA ..na ndio Tanzania ya 2009

enough with mijadala ya ufisadi...hali halisi on the ground ni hii...
maendeleo.jpg

Wanafunzi wa darasa la saba kutoka Mbagala Kuu jijini Dar es salaam wakiwa katika mitihani yao ya kila mwezi.

-Spika wa bunge letu bwana Samuel Sitta anasema kuwa wabinge wanastahili kulipwa zaidi ya milioni 7 kwa mwezi apart from marupu rupu

-Pesa za kupigana vita Comoro tunazo

-Pesa za mabilioni kwa ajili ya ID cards pia tunazo

-Pesa za kumpa Mattaka na wajumbe wake kule NIC tunazo

This picture shows how out of touch tumekuwa na majority on the ground. Its been 2 years hakuna kinachojadiliwa zaidi ya UFISADI, ile ilani yetu ya UCHAGUZI imetupwa kapuni na mbaya zaidi wapinzani kama CHADEMA nao wako more out of touch kuliko wote on the ground kwani wao bora kukodi helicopter ili kuwakimbia wananchi wakati wa kampeni...

Pesa ya helicopter si wangewanunulia madawati hawa wanafunzi?

anyway nawasilisha.

GT you surprise me; you are sometimes very objective when you are not mixed up with religious issues! Picha uliyoionesha ya hawa watoto wa Mbagala ndio inaonyesha dhahili madhara ya ufisadi kwa jamii yetu, tusipoukemea ufisadi maana yake hawa watoto watasomea kwenye mchanga wao na wajukuu zao! Mafisadi lazima tuwatokomeze ili fedha zipatikane za kununulia madawati!!
 
Nakubaliana na wewe to an extent lakini je umeshawahi kufanya tuu mwenyewe bila kuhusisha viongozi wa serikali au wabunge! Inawezekana kabisa..wengi tunatoa bila hata ya mkuu wa kijiji kujua...tusitegemee serikali isiyokuwa na policy ya maaana kuhusu wananchi wake!

....Mimi nilishataka kutoa msaada wa vitabu ktk shule niliyo soma kijijini lakini mkuu wa shule aliniambia hawezi kupokea mpaka bodi ya shule iafiki,nikamwambia afanye utaratibu lakini mpaka muda wangu wa kukaa huko hakunijibu zaidi ya kuniambia taratibu zinafanyika.NILICHOGUNDUA NI KWAMBA ILE BODI YA SHULE,WAJUMBE WOTE NI WA CCM NA WANAAMINI MTU HAWEZI KUTOA MSAADA BILA KUDAI CHOCHOTE,HASA UONGOZI
 
bm21,

Unajua kabisa hii hali ya kukalia mchanga, nje nje hivyo, ni athari ya mabomu, umekisema hicho, lakini eti unashangaa kwa nini serikali haija waletea "viti." Kwa hiyo unaongelea emergency response, sio maswala ya mazingira mabaya mashuleni katika context ya hali duni ya elimu siku zote. Ni swala la maafa ya mabomu.

Sasa ni hivi: Katika emergency response, huanzii na kuwapelekea watu huduma ambazo 1) huwa hawana anyway 2) sio life-and-death humanitarian needs. Madawati huwa hizi shule hazina ya kutosha anyway. Unaanza na kuokoa maisha yao: pa kulala, pa kula, pa kutibiwa. Sio "viti," hawakuwa na "viti" in the first place.

Hii situation imekuwa presented kana kwamba ina piga picha hali halisi, si kweli, ni uongo. Ni athari za mabomu.

Shule nyingi sana nchini wanafunzi wanakaa mchangani kwahiyo kusema kuwa ni kwasababu ya emergency hiyo si sahihi; juzi juzi tu Mheshimiwa Mahiza aliangua kilio alipoonyeshwa bweni la wanafunzi lilokuwa kama zizi la n'gombe!! Hayo ndio maisha bora kwa kila mtanzania Muungwana anayoyafuata atuletee kutoka huko hollywood kwa akina Seagal!!
 
Shule nyingi sana nchini wanafunzi wanakaa mchangani kwahiyo kusema kuwa ni kwasababu ya emergency hiyo si sahihi

Basi kama ndo hivyo mngeweka hiyo taswira ya kukaa mchangani kutoka shule ambayo haijapigwa bomo ili pasiwepo utata kwamba ni hali halisi. Vinginevyo hii presentation si kweli, ni uongo, ni shule imepigwa mabomu.

Kwenye emergency response unaleta madawa, chakula, pa kulala, sio "viti." Huwa hawana viti in the first place.
 
Hii ndio hali halisi kule MBAGALA ..na ndio Tanzania ya 2009

enough with mijadala ya ufisadi...hali halisi on the ground ni hii... .

ni kutokuwa mkweli kutokuhusisha hicho kilichopo kwenye picha na ufisadi uliokubuhu nchini. Bila kupiga vita ufisadi katika kila kona ya nchi, idara, wizara, mashirika ya umma (NIC, ATCL, NSSF, PPF), Benki Kuu n.k hicho kilichopo kwenye picha ni kidogo kwani juzi tu Waziri Mwantumu amelia baada ya kuona bweni la wanafunzi kule Tanga. Machozi yake na kumlaumu JK ni kutokuhusisha hali halisi "on the ground" na ufisadi.

Chadema, CUF, TLP n.k haviwezi kubeba na havipaswi kubeba lawama ya uozo huu. Hili ni la CCM, na CCM peke yake, na hilo ni kwa sababu ndiyo chama kilichozalisha, kulea, na kuuhifadhi ufisadi na kula matunda yake yanatoka kwenye mti wa ufisadi!

Nje ya hapo ni kujaribu kuuitwa ukweli, ukweli.
 
Basi kama ndo hivyo mngeweka hiyo taswira ya kukaa mchangani kutoka shule ambayo haijapigwa bomo ili pasiwepo utata kwamba ni hali halisi. Vinginevyo hii presentation si kweli, ni uongo, ni shule imepigwa mabomu.

Kwenye emergency response unaleta madawa, chakula, pa kulala, sio "viti." Huwa hawana viti in the first place.

Dilunga mimi nakataa, ingekuwa ni dharula ya msiba ....mbona viti, maji n.k. vinaletwa haraka. Sema tu watanzania hana priorities za maana. Tunaona wale watoto kufanya mtihani wao wa mwisho wa mwezi ni sawa na kunywa kahawa.
 
Hii ndio hali halisi kule MBAGALA ..na ndio Tanzania ya 2009

enough with mijadala ya ufisadi...hali halisi on the ground ni hii...
maendeleo.jpg

Wanafunzi wa darasa la saba kutoka Mbagala Kuu jijini Dar es salaam wakiwa katika mitihani yao ya kila mwezi.

-Spika wa bunge letu bwana Samuel Sitta anasema kuwa wabinge wanastahili kulipwa zaidi ya milioni 7 kwa mwezi apart from marupu rupu

-Pesa za kupigana vita Comoro tunazo

-Pesa za mabilioni kwa ajili ya ID cards pia tunazo

-Pesa za kumpa Mattaka na wajumbe wake kule NIC tunazo

This picture shows how out of touch tumekuwa na majority on the ground. Its been 2 years hakuna kinachojadiliwa zaidi ya UFISADI, ile ilani yetu ya UCHAGUZI imetupwa kapuni na mbaya zaidi wapinzani kama CHADEMA nao wako more out of touch kuliko wote on the ground kwani wao bora kukodi helicopter ili kuwakimbia wananchi wakati wa kampeni...

Pesa ya helicopter si wangewanunulia madawati hawa wanafunzi?

anyway nawasilisha.

Je na watoto wa mbunge wao wapo humo?, tunajua tatizo la viongozi wetu.Mifano halisi ni pale wanapougua hupelekwa africa ya kusini na ulaya
kwa ajili hiyo Muhimbili haina maana kwao ndo maana wagonjwa wana lalia godoro moja wawili hata watatu. Ukifika Hospital na ugonjwa mmoja unatoka na magonjwa kadhaa.
Shule hizo watoto wanazo ka nchini hakuna watoto wa watoa maamuzi wanaosoma hapo.Ninaomba kama kuna mudau anayeweza kutuwekea picha ya watoto wa masaki, osterbay,au shule za upanga wanao kaa nchini.
Lakini turudi nyuma pia tuone hawa jamaa wanapata jeuri hii wapi?,ni sisi tunao wapa jeri hiyo kwa maana wameisha tupumbaza kiasi kuwa tunapiga kelele za chura hali wakiendelea kuchota.... Ngojeni kipindi cha uchaguzi ndo mtaona, hivyo tunavuna tulichopanda.
Je na wasomi nao wanasaidiaje, kumbuka vuguvugu na harakati zote za ukombozi wa mlalahoi miaka yote ilisaidiwa na kada ya wasomi(intelligencia)maana hawa wanaguswa na sehemu zote kwa mabwanyenye(bourgoise)wanahitajika kama wataalamu hali kwa walala hoi ni watoto. sasa wasomi ndo waliosaidia kugonganisha hizi tabaka mbili na hatimaye kukatokea badiliko,je wasomi wako wapi mnapo timuliwa vyuoni mbona hamjikiti vijijini kuanza kuelimisha jamii.Unafikiri wazee walioko vijijini wana habari yoyote ya Ufisadi... hayo si mambo ya watu wachache waishio sehemu zenye mawasiliano. Hao wazee ambao mara nyingi ndo wapiga kura na wadanganywa nani amejitoa mhanga kuwaelimisha?.
Basi tukubali kuvuna tulicho panda au tubadili mbegu.
 
Sasa mkuu je ungefika kwenye hospital zetu si ndiyo ungezimia kabisa!!...akina mama wajawazito na vitoto vichanga ni kulala chini na hakuna hata mashuka ni mwendo wa vijikanga tu!..
Sasa kunatofauti gani kati ya binadamu na wale ng'ombe wanaozaa na kulala chini??
 
GT Mie mpaka sasa bado sielewi kwanini jamaa hawafanyi tunayotaka,WHY???????????????

this country it is not supposed to be like this anymore!

Hell no,Shame on You who have made my people live like this,What do we teach this young generation?wazoee Shida??

alafu utakuta mzee anmwambia mtoto wake,hata siye tulisoma kwa shida..lol

lets think wisely from here,tuangalie vizuri na tujiandae kwa mabadiliko 2020

Nakubaliana na mawazo yako.Lakini kwa nini tupange mipango ya 2020 wakati mammbo mengi ya ovyo yanaendelea sasa hivi???KWa nini isiwe 2009?Kwa nini isiwe 2010?Mabadiliko hayawezi kuja kwetu, sisi ndo wa kuyazaa mabadiliko vichwani mwetu na kuyaingiza katika jamii na mfumo mzima.Si lazima tugombee Ubunge,hata kupeleka used computer 1 tu kule ushwazi ni kutekeleza maendeleo,hiyo ikishindikana hata kumnunulia mama yako lile sufuria ,pressure cooker, utakuwa umesaidia sana kupunguza matumizi ya Mafuta/mkaa/kuni/gas au umeme..Tuanze kwa kufikiria mambo tuyaonayo madogo lakini yanaleta tofauti kubwa katika maisha ya mtu.Hebu fikiria 10% yetu kila mmoja akipeleka mpira 1 wa Basketi na wa miguu pale shuleni kwake alipo soma kila mwaka. Unadhani wale vijana hawatapata moyo kwamba kuna BigSister/ brother alisoma hapa anatuletea mpira ,mpya kila mwaka??? Mpira hausaidii sana kutatua matatizo ya nchi, lakini mpira unaweza kuwa center ya maendeleo kwa vijana walio wengi wachezao na watazamao.Wi havu tu du samuzing nao! Siyo kwenda pale ulipo soma na kuanza kulia machozi ya mama ng'ombe Hiii Hiui Hii!
 
Hii ndio hali halisi kule MBAGALA ..na ndio Tanzania ya 2009

enough with mijadala ya ufisadi...hali halisi on the ground ni hii...
maendeleo.jpg

Wanafunzi wa darasa la saba kutoka Mbagala Kuu jijini Dar es salaam wakiwa katika mitihani yao ya kila mwezi.

Pesa ya helicopter si wangewanunulia madawati hawa wanafunzi?

anyway nawasilisha.

Naomba nitofautiane na wewe katika hili. Kazi ya serikali ni nini? kama serikali ya CCM ndiyo inakusanya kodi kwa nini CHADEMA ndiyo wanunue madawati!? hela za kodi za wananchi zinapotumika kwa mambo ya kijinga kama vile semina za Ngurdoto na nyinginezo ni sawa, lakini helkopta ya CHADEMA ambayo imekodishwa kwa hela za wanachadema wenyewe ndiyo hela zake zinunulie madawati ya hawa watoto. Kwa nini??

unajua kwamba ofisi ya Bunge sasa hivi inaendesha semina kwenye majimbo mbalimbali ya uchaguzi kuhusu kazi za wabunge. na kila mjumbe anayehudhuria semina hizo hulipwa 30,000. kwa wanasemina mia 300 inakuwa ni shilingi milioni tisa. hazitoshi kwa hayo madawati yako mpaka hela za kukodishia helkopta ya CHADEMA?
 
Je na watoto wa mbunge wao wapo humo?, tunajua tatizo la viongozi wetu.Mifano halisi ni pale wanapougua hupelekwa africa ya kusini na ulaya
kwa ajili hiyo Muhimbili haina maana kwao ndo maana wagonjwa wana lalia godoro moja wawili hata watatu. Ukifika Hospital na ugonjwa mmoja unatoka na magonjwa kadhaa.
Shule hizo watoto wanazo ka nchini hakuna watoto wa watoa maamuzi wanaosoma hapo.Ninaomba kama kuna mudau anayeweza kutuwekea picha ya watoto wa masaki, osterbay,au shule za upanga wanao kaa nchini.
Lakini turudi nyuma pia tuone hawa jamaa wanapata jeuri hii wapi?,ni sisi tunao wapa jeri hiyo kwa maana wameisha tupumbaza kiasi kuwa tunapiga kelele za chura hali wakiendelea kuchota.... Ngojeni kipindi cha uchaguzi ndo mtaona, hivyo tunavuna tulichopanda.
Je na wasomi nao wanasaidiaje, kumbuka vuguvugu na harakati zote za ukombozi wa mlalahoi miaka yote ilisaidiwa na kada ya wasomi(intelligencia)maana hawa wanaguswa na sehemu zote kwa mabwanyenye(bourgoise)wanahitajika kama wataalamu hali kwa walala hoi ni watoto. sasa wasomi ndo waliosaidia kugonganisha hizi tabaka mbili na hatimaye kukatokea badiliko,je wasomi wako wapi mnapo timuliwa vyuoni mbona hamjikiti vijijini kuanza kuelimisha jamii.Unafikiri wazee walioko vijijini wana habari yoyote ya Ufisadi... hayo si mambo ya watu wachache waishio sehemu zenye mawasiliano. Hao wazee ambao mara nyingi ndo wapiga kura na wadanganywa nani amejitoa mhanga kuwaelimisha?.
Basi tukubali kuvuna tulicho panda au tubadili mbegu.

...........
WAZO LAKO NI ZURI LAKINI LIMESHASHINDWA KWANI WASOMI WETU HAWAONI UMUHIMU WAO NA WAMEKATA TAMAA.UNAKUMBUKA TUME YA NYALALI NA MAPENDEKEZO YAKE?JE ILE YA WARIOBA NA MIANYA YA RUSHWA,NI NANI(kiongozi)ALIYE JALI?
Wasomi wengi wanaheshimu na kutii msemo huu "KAMA HUWEZI KUPIGANA,UNGANA NAO".
Nafikiri neno/maana ya msomi iwe ANAYEWEZA KUSOMA MAZINGIRA NA KUKABILIANA NAYO KWA MANUFAA YA JAMII.
Hivyo kila mwana JF NI MSOMI KAMA HAYUPO KWA UBISHI AMBAO ANAAMINI KUWA HAUNA MAANA KWA JAMII.
 
Utamlaumu nani?
alietunga sera za chama kinachotawala, manake huwa lazima watukumbushe kila mara utekelezaji wa sera za chama, ambazo ndio hizi,
inabidi kama wako serious kweli, hawa big shots wa CCM, hawa wazee wenye nchi ambao vijana lazima wawapigie magoti wakitaka chochote, kabla hawajafa, warudi kwenye drawing board, na kupanga tena upya sera za chama chao, zimeoza, hazina nguvu katika miaka hii ya ubepari!
 
Ndio...kwa nini wakodi helicopter la mamilioni in the first place?

wanakimbia nini? hawataki kuona reality on the ground?

huku tunalalama CCM wafujaji alternative nao ndio kama hivyo kwa matanuzi hawawezeki
Haya,GT,nakupatia jibu rahisi kwa swali jepesi unalolifanya kuwa magumu.CHADEMA wamekodi helikopta ili kuwafikia kirahisi wapigakura wa Busanda.Laiti CCM isingeendekeza ufisadi (au kutimiza ahadi zake za kuboresha miundombinu) then CHADEMA wangeweza kabisa kutumia usafiri wa barabara kuwafikia wapigakura.On top of that,helikopta ya CHADEMA haikukodiwa kwa taxpayers money,it's for campaigning purposes only na gharama zilizotumika kuikodi ni chache mno kulinganisha na faida itakayopatikana kwa kufanikisha kumpeleka Mheshimiwa Magesa bungeni hapo Jumapili.Tunaweza kabisa kuiilinganisha gharama hiyo na the cost of freedom

Kwanini wamekodi helikopta la mamilioni?Wewe ulitaka wakodi la maelfu?Na hayo mamilioni ni mangapi?CHADEMA ina wanachama wenye uwezo,na sintoshangazwa iwapo mmoja wa wanachama hao ame-foot bills za kukodi helikopta hiyo.

Compare that to mzigo tuliobebeshwa na entourage ya mzururaji huko U.S.A....
 
Hii ndio hali halisi kule MBAGALA ..na ndio Tanzania ya 2009

enough with mijadala ya ufisadi...hali halisi on the ground ni hii...
maendeleo.jpg

Wanafunzi wa darasa la saba kutoka Mbagala Kuu jijini Dar es salaam wakiwa katika mitihani yao ya kila mwezi.

-Spika wa bunge letu bwana Samuel Sitta anasema kuwa wabinge wanastahili kulipwa zaidi ya milioni 7 kwa mwezi apart from marupu rupu

-Pesa za kupigana vita Comoro tunazo

-Pesa za mabilioni kwa ajili ya ID cards pia tunazo

-Pesa za kumpa Mattaka na wajumbe wake kule NIC tunazo

This picture shows how out of touch tumekuwa na majority on the ground. Its been 2 years hakuna kinachojadiliwa zaidi ya UFISADI, ile ilani yetu ya UCHAGUZI imetupwa kapuni na mbaya zaidi wapinzani kama CHADEMA nao wako more out of touch kuliko wote on the ground kwani wao bora kukodi helicopter ili kuwakimbia wananchi wakati wa kampeni...

Pesa ya helicopter si wangewanunulia madawati hawa wanafunzi?

anyway nawasilisha.

We nawe sometimes unaongeaga vitu vya maana lakini at the end unatoa points za kuchekesha dah, yaani unaacha kuclaim pesa walizoiba akina Rostam na kwa kushirikiana na baadhi ya wakubwa wa Serikali ya CCM unawarukia chadema kweli?? Ni serikali gani yenye kashfa ya ufisadi?? Watu walioiba pesa za walipa kodi through Richmond, Kagoda etc wanatoka wapi?? Hebu tuambie hao chadema wameiba wapi mpaka wakajenge madarasa yaliyovunjwa na na mabomu huko Mbagala?? Hebu acha kuchekesha na kuvuruga watu pasipo na sababu za msingi bwana ah mtu mzima ubaboa sasa..... Jiulize ni misaada mingapi imepelekwa huko Mbagala na inasimamiwa na nani kwa kukusaidia tu ni hivi Mengi katoa 20 something Millioni, NMB wamemwaga pesa, Us Embassy wametoa over 60 million, Rostam hajapeleka kitu, Manji hajapeleka kitu, Tanil Somaiya hajap[eleka kitu Jeetu Petel hajapeleka kitu aaaaah samahani bwana ila msg umeipata mkuu. Am out.......
 
jamani naombeni radhi nimekosea kuwakosoa CHADEMA au the alternative

tunakubaliana CCM hawafai lakini hili la kutaka kuwafanya CHADEMA ma SAINTS linanitisha zaidi

lakini naona issues za kuwa criticize hata kama constructively ni hatari kwani utaonekana ni msaliti and so on

hivi hatuwezi kujadiliana bila kuwepo kwa party politics?

halafu mnataka twende mbele

napona mijadala ya maana humu ishashindikana...bora kurudi kwenye mijadala ya kishabiki maana hiyo ndio oder of the day.
 
Hii ndio hali halisi kule MBAGALA ..na ndio Tanzania ya 2009

enough with mijadala ya ufisadi...hali halisi on the ground ni hii...
maendeleo.jpg

Wanafunzi wa darasa la saba kutoka Mbagala Kuu jijini Dar es salaam wakiwa katika mitihani yao ya kila mwezi.

-Spika wa bunge letu bwana Samuel Sitta anasema kuwa wabinge wanastahili kulipwa zaidi ya milioni 7 kwa mwezi apart from marupu rupu

-Pesa za kupigana vita Comoro tunazo

-Pesa za mabilioni kwa ajili ya ID cards pia tunazo

-Pesa za kumpa Mattaka na wajumbe wake kule NIC tunazo

This picture shows how out of touch tumekuwa na majority on the ground. Its been 2 years hakuna kinachojadiliwa zaidi ya UFISADI, ile ilani yetu ya UCHAGUZI imetupwa kapuni na mbaya zaidi wapinzani kama CHADEMA nao wako more out of touch kuliko wote on the ground kwani wao bora kukodi helicopter ili kuwakimbia wananchi wakati wa kampeni...

Pesa ya helicopter si wangewanunulia madawati hawa wanafunzi?

anyway nawasilisha.

.hivi jamani tutaendelea kuwa hivi mpaka lini.....hivi kweli watu wako proudly kusema tuna serikali namna hii??.....how much inai-cost serikali kuwajibika kwa hawa vijana............Damn!!!
 
Mimi nikisema hii nchi ya manyani mnachukia. Hawa viongozi wanaotusababishia hali hii/umaskini hawana hukumu nyingine nje ya kifo tu. Hawa wakifa katika mazingira ya public anger, watakaofuata watakuwa makini tu.
 
Back
Top Bottom