Picha itakayomsuta JK na wabunge wake mamilionea.....

Kwa matatizo ya kiuchumi na kijamii, lawama zinakwenda kwa CCM moja kwa moja. Ndio waliokabidhiwa Tanzania. Wewe Game usitake kupindisha pindisha mambo. Tunakujua wewe ni zao la ufisadi na unafaidika na mfumo wa ufisadi unaoendelezwa na CCM. Ebo!!! Usitake kuniharibia appetite yangu ya kitimoto hapa Rainbow.

umesema kitimoto rainbow udenda unanitoka
 
Hii ndio hali halisi kule MBAGALA ..na ndio Tanzania ya 2009

enough with mijadala ya ufisadi...hali halisi on the ground ni hii...
maendeleo.jpg

Wanafunzi wa darasa la saba kutoka Mbagala Kuu jijini Dar es salaam wakiwa katika mitihani yao ya kila mwezi.

-Spika wa bunge letu bwana Samuel Sitta anasema kuwa wabinge wanastahili kulipwa zaidi ya milioni 7 kwa mwezi apart from marupu rupu

-Pesa za kupigana vita Comoro tunazo

-Pesa za mabilioni kwa ajili ya ID cards pia tunazo

-Pesa za kumpa Mattaka na wajumbe wake kule NIC tunazo

This picture shows how out of touch tumekuwa na majority on the ground. Its been 2 years hakuna kinachojadiliwa zaidi ya UFISADI, ile ilani yetu ya UCHAGUZI imetupwa kapuni na mbaya zaidi wapinzani kama CHADEMA nao wako more out of touch kuliko wote on the ground kwani wao bora kukodi helicopter ili kuwakimbia wananchi wakati wa kampeni...

Pesa ya helicopter si wangewanunulia madawati hawa wanafunzi?

anyway nawasilisha.

Mbona tunaenda mbali sana wala hata tusipogusa safari za mkulu na haochadema. Mimi naona wakiuza land cruiser zote leo na hela ile ikawekwa kujenga na kuimarisha shule zilizopo, nyingi tu zitajengwa. Mawazo ya watawala wetu ni kama ya baba mlevi anayekimbia familia. Natoa mfano huu ambao ni halisia:

Pale Mzumbe University baada ya uongozi kubadirika(kutoka kwa Warioba) kwenda kwa Kuzilwa, walikuja na sera ya kubana matumizi, sasa angalia kichekesho cha watala wetu,

"wakasema tupunguze gharama za usafiri na kwanza tuondoe gari zinazosafirisha walimu kutoka mjini kwenda mzumbe(25km) na badala yake tuwape nauli. Jumla ya gari zinazosafirisha walimu ni mbili, lakini VC, DVC-A, DVC-F/A wote wana Nissan patrol-new model, council secretaty na deans wote wana landcruiser kila mtu yake".

sasa walimu wakauliza "kwa nini kama ni kupunguza matumizi ya usafiri, basi gari la VC lihudumie wote hao yani CV, DVC-A na DVC-F/A" halafu mengine yauzwe? Jibu likawa "....hiyo haiwezekani na kwanza wewe mwalimu kwa nini unahoji matumizi ya VC?"

Kwa mtindo huu siyo JK tu bali sector zote zimeoza.
 
naona hii picha ipelekwe busanda, watu waonyeshwe jinsi ccm inavyo tekeleza programme yake ya maisha bora, na waelezwa faidi za viongozi wetu kwenda majuu kuomba.kuanzia alhaji mwinyi, mpaka nkapa na kundi lake, maana faida tuna ziona.
halafu huyo magufuli anasema hiyo barabara ya busanda ataijenga, ndio anaiona leo? hiyo miaka kumi aliyo kuwa waziri haikuwepo? uwanja wa ndege wenyewe wa mwanza alishindwa kuujenga, itakuwa hiyo barabara. aache uongo wao, na kama issue ya usomi wa huyo mtarajiwa, je huyo ni wa kwanza ndani ya ccm? si tuna akina mwandosya, kapuya, yeye mwenyewe magufuli, wamesaidia nini zaidi ya kuhonga nyumba za serikali kwa vimada? angalau angetumia hela yake kuhonga tusingekuwa na maneno, maana huo ni uamuzi wake binafsi.
 
kesho utasikia serikali imekanusha kwamba hao watoto hawakai chini...kama lile la athari za mabomu..."hakuna viziwi"...labda pia viongozi wanaweka mbele siasa kwani simnajua lile eneo ni ngome ya CUF...

"MABADILIKO YATALETWA NA WENYE KUONA MAOVU YALIYOPO, WAKAYASEMA,WAKAYACHUKIA, WAKAWA NA NIA THABITI YA KULETA MABADILIKO NA KUJITOKEZA MBELE KUONYESHA NJIA MBADALA"
 
Gt, Hali ya watoto hawa inatokana na UFISADI, hivyo hatuwezi kabisa kunyamaza wakati fedha zinaibiwa toka mfuko wa serikali kwa maslahi ya watu wachache.. Ebu fikiria zile billioni 133 za EPA, Ujenzi wa BoT billioni 500 na mengine mengi ambayo ni kati ya sababu kubwa za uzembe wa utawala wote wa CCM. Na wala hatuwezi kumlalamikia JK pekee kwani hali hii haikuanza jana. Kama unakumbuka mwaka 2005 kabla ya uchaguzi kuna mtu aliweka mada kama hii kuhusiana na shule ya watoto wadogo ambayo kila mmoja wetu alilaani... Tuendelee kulaani vitendo vya Ufisadi kwa sababu ndivyo sababu kubwa ya mapungufu yote, Serikali yetu ni sawa na nzazi anayefisadi familia yake..Na vitewndo vyake vinavyoambatana na kupinga vipaumbele vibaya kiasi kwamba familia inakosa mahitaji mhumu ni lazima vishutumiwe!.. Na tutaendelea kushutumu hadi kieleweke!
 
Hii ndio hali halisi kule MBAGALA ..na ndio Tanzania ya 2009

enough with mijadala ya ufisadi...hali halisi on the ground ni hii...
maendeleo.jpg

Wanafunzi wa darasa la saba kutoka Mbagala Kuu jijini Dar es salaam wakiwa katika mitihani yao ya kila mwezi.

-Spika wa bunge letu bwana Samuel Sitta anasema kuwa wabinge wanastahili kulipwa zaidi ya milioni 7 kwa mwezi apart from marupu rupu

-Pesa za kupigana vita Comoro tunazo

-Pesa za mabilioni kwa ajili ya ID cards pia tunazo

-Pesa za kumpa Mattaka na wajumbe wake kule NIC tunazo

This picture shows how out of touch tumekuwa na majority on the ground. Its been 2 years hakuna kinachojadiliwa zaidi ya UFISADI, ile ilani yetu ya UCHAGUZI imetupwa kapuni na mbaya zaidi wapinzani kama CHADEMA nao wako more out of touch kuliko wote on the ground kwani wao bora kukodi helicopter ili kuwakimbia wananchi wakati wa kampeni...

Pesa ya helicopter si wangewanunulia madawati hawa wanafunzi?

anyway nawasilisha.
huoni hii ni zao la ufisadi, sasa tukiacha kuongelea ufisadi matokeo yake ndio haya, neno ufisadi lina maana pana kuliko unavyo fikiria, ni pamoja na matumizi mabaya ya mali ya umma, kuiflate price , upendeleo etc etc
 
Hii ndio hali halisi kule MBAGALA ..na ndio Tanzania ya 2009

maendeleo.jpg

Wanafunzi wa darasa la saba kutoka Mbagala Kuu jijini Dar es salaam wakiwa katika mitihani yao ya kila mwezi.

Hawa ndio Vasco kaenda kuwatafutia IBM computers!, ten hawa mbona wana afadhali sana tuu, hebu sogea Mkuranga tu uone jinsi watoto wa shule wanavyoishi kijima!
 
enough with mijadala ya ufisadi...hali halisi on the ground ni hii...

-Spika wa bunge letu bwana Samuel Sitta anasema kuwa wabinge wanastahili kulipwa zaidi ya milioni 7 kwa mwezi apart from marupu rupu

-Pesa za kupigana vita Comoro tunazo

-Pesa za mabilioni kwa ajili ya ID cards pia tunazo

-Pesa za kumpa Mattaka na wajumbe wake kule NIC tunazo

This picture shows how out of touch tumekuwa na majority on the ground. Its been 2 years hakuna kinachojadiliwa zaidi ya UFISADI, ile ilani yetu ya UCHAGUZI imetupwa kapuni na mbaya zaidi wapinzani kama CHADEMA nao wako more out of touch kuliko wote on the ground kwani wao bora kukodi helicopter ili kuwakimbia wananchi wakati wa kampeni...

Pesa ya helicopter si wangewanunulia madawati hawa wanafunzi?

anyway nawasilisha.

Nakubaliana na wewe kuwa hiyo pichan ndiyo khali ya wanafunzi watz kwani wana matatizo mengi zaidi ya hata hayo.

Vitu ulivyotaja ni kweli kwani tatizo la viongozi wetu priority zao ziko kinyume na matakwa thats why mbunge yuko radhi alipwe kama wa nje bila kujali wanachi wana khali gani. Mifano iko mingi kwani majengo pacha yalikuwa na ulazima gani? Plus hiyo ya kwako ya wajeshi comoro, ID cards hizo wao ndiyo vipaumbele vyao wanasahau kuwa matatizo ya wananchi ndiyo ya msingi kwanza.

Ni kweli pia sasa hivi issue imekuwa mafisadi mpaka vitu vingine vimesahaulika lakini kama cha muhimu ni kwamba kitu kikisahaulika haitakiwi ulalamike bali ni kukirudisha hewani kwani mara nyingi watu wanadeal na burning issues. Zile zinazoanza kupoa japo niza muhimu zinaachwa, hivyo ni vizuri kukumbushana NA WEWE GAME NDIYO UWE KIONGOZI SIYO KULALAMIKA TU.

Issue ya helikopta tutatofautiana kwani wewe kwa upande wako unaona kuwa kutumia helikopta ni kukimbia wananchi lakini je Jamaa anafanya mikutano mingapi kwa siku? Coverage yake utailinganisha na wanaotumia magari? Pia hiki chama ni kidogo huwezi kukilinganisha na CCM ambayo inatumia mpaka raslimali za serikali. Hivyo kwa hii helikopta anayekuja kushangaa anaondoka na mawazo mbadala. Thats CCM huko busanda walipoona mjini wanachemsha wakakimbilia vijijini kwani wanajua wapinzani kufika huko ni issue. Pia Kiteto walifanya the same thing.

Wabongo tunapenda sana kulalamika kwani matatizo ya watz hatuyajui? Yanajulikana tena sana ni utashi wa kuyatatua ndiyo unakosekana. Hivyo ni vizuri kutafuta njia mbadala badala ya kupinga helikopta ambayo CHADEMA inawasaidia kujitangaza. Kwani kama siyo helikopta mwaka 2005 ingekuwaje? nayo ilichangia kwa asilimia fulani.
 
This is GT i know na kumkubali.Karibu naona umerudi jamvini vile ambavyo uko siyo vile ambavyo hauko.

Maneno mazito sana haya,nafikiri kama Ikulu wakitupa gharama za safari za Mkulu nje ya nchi toka aingie ikulu shule nyingi zingeweza kabisa kuondokana na hizi adha kwa pesa hiyo.

Naomba kama kuna mwanaJF mwenye records/data atupe mlinganisho wa foreign trips be it official au unofficial zilizofanywa na Rais Mwinyi,Rais Mkapa na Rais JM Kikwete katika kipindi cha miaka 3 na nusu ya kwanza ya awamu zao. Ingependeza kama tungeweka na gharama za kila trip (tutaangalia na CPI ili kuweka mlinganisho sahihi wa gharama).

Halafu tutamuuliza nini ambacho Tanzania ilifaidika kutokana na trip zake tukilinganisha na trip za waliomtangulia.

Natamani tufike mahali tumhukumu JK kwa haki kama ni Vasco Dagama kweli au amekuwa akifanya trip zenye kuleta manufaa kwa nchi na wananchi wake maskini.

Naomba kuwasilisha

T

We can look at it also the other way round!!
We don't expect the head of state to spend all the time in his/her country. I think much as we need to know the number of trips its also better we get to know which trips are of much importance to our country's growth!
Who knows the minimum number of trips alloted to the head of state, ministers & their ministries etc?
How many people do go with president as a delegation and who caters for their overseas expenditures??

Lets get these answers and then we can see how to we can advise on minimising the costs incured through such missions.

As for the schools hii nadhani ilichangiwa zaidi na uanzishwaji wa shule holela under MEM, at least hawa wa kwenye picha wanafanya mitihani kila mwezi je shule ambayo Headmaster peke yake ndio mwalimu akifuatiwa na kiranja mkuu hujaisikia???

Ni bora tuwe proactive katika masuala ya maendeleo ya jamii zaidi ya kuwa reactive as i see it!
 
..ningekuwa na uwezo ningetengeneza bango kubwa la matangazo niliweke pale uwanja wa ndege DSM ili kila mgeni anayeingia Tanzania aone utendaji wa serikali hii.
 
the end will justify the means.kwa kutumia helicopter watanzania wengi wameweza kujua kwa nini bado wao ni maskini. kwenye mapambano ni lazima gharama zitumike.kwa hiyo sioni logic kusema chadema nao mafisadi kwa vile wanatumia chopper.
 
enough with mijadala ya ufisadi...hali halisi on the ground ni hii...

-Spika wa bunge letu bwana Samuel Sitta anasema kuwa wabinge wanastahili kulipwa zaidi ya milioni 7 kwa mwezi apart from marupu rupu

-Pesa za kupigana vita Comoro tunazo

-Pesa za mabilioni kwa ajili ya ID cards pia tunazo

-Pesa za kumpa Mattaka na wajumbe wake kule NIC tunazo

This picture shows how out of touch tumekuwa na majority on the ground. Its been 2 years hakuna kinachojadiliwa zaidi ya UFISADI, ile ilani yetu ya UCHAGUZI imetupwa kapuni na mbaya zaidi wapinzani kama CHADEMA nao wako more out of touch kuliko wote on the ground kwani wao bora kukodi helicopter ili kuwakimbia wananchi wakati wa kampeni...

Pesa ya helicopter si wangewanunulia madawati hawa wanafunzi?

anyway nawasilisha.

Nakubaliana na wewe kuwa hiyo pichan ndiyo khali ya wanafunzi watz kwani wana matatizo mengi zaidi ya hata hayo.

Vitu ulivyotaja ni kweli kwani tatizo la viongozi wetu priority zao ziko kinyume na matakwa thats why mbunge yuko radhi alipwe kama wa nje bila kujali wanachi wana khali gani. Mifano iko mingi kwani majengo pacha yalikuwa na ulazima gani? Plus hiyo ya kwako ya wajeshi comoro, ID cards hizo wao ndiyo vipaumbele vyao wanasahau kuwa matatizo ya wananchi ndiyo ya msingi kwanza.

Ni kweli pia sasa hivi issue imekuwa mafisadi mpaka vitu vingine vimesahaulika lakini kama cha muhimu ni kwamba kitu kikisahaulika haitakiwi ulalamike bali ni kukirudisha hewani kwani mara nyingi watu wanadeal na burning issues. Zile zinazoanza kupoa japo niza muhimu zinaachwa, hivyo ni vizuri kukumbushana NA WEWE GAME NDIYO UWE KIONGOZI SIYO KULALAMIKA TU.

Issue ya helikopta tutatofautiana kwani wewe kwa upande wako unaona kuwa kutumia helikopta ni kukimbia wananchi lakini je Jamaa anafanya mikutano mingapi kwa siku? Coverage yake utailinganisha na wanaotumia magari? Pia hiki chama ni kidogo huwezi kukilinganisha na CCM ambayo inatumia mpaka raslimali za serikali. Hivyo kwa hii helikopta anayekuja kushangaa anaondoka na mawazo mbadala. Thats CCM huko busanda walipoona mjini wanachemsha wakakimbilia vijijini kwani wanajua wapinzani kufika huko ni issue. Pia Kiteto walifanya the same thing.

Wabongo tunapenda sana kulalamika kwani matatizo ya watz hatuyajui? Yanajulikana tena sana ni utashi wa kuyatatua ndiyo unakosekana. Hivyo ni vizuri kutafuta njia mbadala badala ya kupinga helikopta ambayo CHADEMA inawasaidia kujitangaza. Kwani kama siyo helikopta mwaka 2005 ingekuwaje? nayo ilichangia kwa asilimia fulani.
 
August,

Hii picha ukiipeleka Busanda ujue unapigwa pingu kwa kisingizio unaleta fuja kwenye kampeni za CCM.
 
...of course hii inaonyesha ni impact za mabomu na picha hii inaonyesha wapo nnje sio darasani.

... does it mean the government can not provide even chairs?

bm21,

Unajua kabisa hii hali ya kukalia mchanga, nje nje hivyo, ni athari ya mabomu, umekisema hicho, lakini eti unashangaa kwa nini serikali haija waletea "viti." Kwa hiyo unaongelea emergency response, sio maswala ya mazingira mabaya mashuleni katika context ya hali duni ya elimu siku zote. Ni swala la maafa ya mabomu.

Sasa ni hivi: Katika emergency response, huanzii na kuwapelekea watu huduma ambazo 1) huwa hawana anyway 2) sio life-and-death humanitarian needs. Madawati huwa hizi shule hazina ya kutosha anyway. Unaanza na kuokoa maisha yao: pa kulala, pa kula, pa kutibiwa. Sio "viti," hawakuwa na "viti" in the first place.

Hii situation imekuwa presented kana kwamba ina piga picha hali halisi, si kweli, ni uongo. Ni athari za mabomu.
 
Hii ndio hali halisi kule MBAGALA ..na ndio Tanzania ya 2009

enough with mijadala ya ufisadi...hali halisi on the ground ni hii...
Wanafunzi wa darasa la saba kutoka Mbagala Kuu jijini Dar es salaam wakiwa katika mitihani yao ya kila mwezi.

-Spika wa bunge letu bwana Samuel Sitta anasema kuwa wabinge wanastahili kulipwa zaidi ya milioni 7 kwa mwezi apart from marupu rupu
-Pesa za kupigana vita Comoro tunazo
-Pesa za mabilioni kwa ajili ya ID cards pia tunazo
.

Wazazi wao watapewa chumvi, kanga n.k na mambo yatakwenda kama kawaida ilivyo
 
Tusiji-pretend kama hatujui politics za Bongo. Ukitaka kutoa mchango kwa jamii unaanza kuwekewa vikwazo vya aina fulani na viongozi wa wilaya hadi taifa ili mradi usionekane kana kwamba unajali jamii. Kuna watu wengi wanapenda kuweka/ kuleta maendeleo maeneo wanayotoka lakini wanakumbana na vikwazo toka kwa aidha wabunge wa sehemu hizo wa wakuu wa wilaya/ mikoa au mawaziri. Wakati wote wanasiasa wanafikiri unapokwenda kutoa msaada sehemu fulani basi wewe unataka kugombea ubunge.
 
Nakubaliana na wewe to an extent lakini je umeshawahi kufanya tuu mwenyewe bila kuhusisha viongozi wa serikali au wabunge! Inawezekana kabisa..wengi tunatoa bila hata ya mkuu wa kijiji kujua...tusitegemee serikali isiyokuwa na policy ya maaana kuhusu wananchi wake!
 
Back
Top Bottom