Picha imenichefua hii!!

Picha imenichefua hii!!

Na hii jee, "wapiganaji mnaziweza?" wapiiii?
Kikwete.jpg

MashAllah hata sijda yake ina meremeta kwa nuru aliokuwa nayo!, hebu mpigieni MashAllah na vijicho vyenu vya uhasid.
 
Mawazo mgando ni yale ya kuponda mtu ambae cv yake inaonesha kuwa ni "leader" kuanzia shule, ooppsss, kuanzia wazee wake. Sasa wewe una japo ka 1% ka cv ya Jakaya? Unanchekesha!

Teh teh teh teh...... inaonesha wazi hujui unachokishadadia hapa!! Sina uwezo wa kubishana mambo ambayo yako wazi.

Endelea kucheka......
 
handsome usoni, jejejeeee akilini nako kuna uhandsome? naomba jibu wazalendo.
 
Baada ya kuzomewa na suti za hongo anarudi na Hawaii ya bei poa....huyu jamaa mbongo sparks katika low low frequence. anafikiri wadanganyika na wazenj vijana wanahusudu vunga.
 
Na hii jee, "wapiganaji mnaziweza?" wapiiii?
Kikwete.jpg

MashAllah hata sijda yake ina meremeta kwa nuru aliokuwa nayo!, hebu mpigieni MashAllah na vijicho vyenu vya uhasid.

Acha kujipendekeza kwa mume wa mtu, weka sura ya mumeo hapa kama una ubavu tuone kama mtandao haujazima kwa masaa kadhaa!
 
Na hii jee, "wapiganaji mnaziweza?" wapiiii?
Kikwete.jpg

MashAllah hata sijda yake ina meremeta kwa nuru aliokuwa nayo!, hebu mpigieni MashAllah na vijicho vyenu vya uhasid.

HAaa!? makubwa, anataka kuzichapa huyu, ee!
 
Hivi wewe haswa, unataka kushindana kuvaa na handsome Kikwete? jitu lililoiona dunia kabla yako? linalozunguka dunia kama kiongozi kabla hujazaliwa? Unanchekesha!

Kashituka awezi kuwa JK wa ukweli sasa kaanza kupoteza kwa mavazi ya kimandela
 
Ndio anaanza safari za kutalii
Lakini watu mezidi uchokozi jamani, kuchomekea na kuaga. Kwa mtazamo wangu mimi naon rais JK alivaa simple to the extend akaonekana kama mtu wa kawaida.
 
Back
Top Bottom