Picha imenichefua hii!!

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
308918_1869510356985_1817906035_1315412_1359636296_n.jpg
 
ivi ilo shati amevaa wenzake huwa wanachomekea? alivyochomekea anaonekana kama mshamba wa mavazi....inabidi tumlaumu mama salma, hakumkagua nguo gani avae nzuri..
 
Hivi wewe haswa, unataka kushindana kuvaa na handsome Kikwete? jitu lililoiona dunia kabla yako? linalozunguka dunia kama kiongozi kabla hujazaliwa? Unanchekesha!
 
Mawazo mgando!
Kuzaliwa miaka mingi iliyopita sio kigezo cha yeye kujua zaidi ya wengine, vile vile kuzunguka dunia hakumpi mtu maarifa kama ubongo wake hauna uwezo wa kuelewa!!!
Mawazo kama haya ndio yanayowafanya vijana washindwe kuthubutu kisa wazee waliozaliwa miaka mingi na wamekuwa viongozi miaka mingi hawakuweza kutekeleza vitu flani!!

Be a great thinker....
 
jibwana hondsome!!

Hawezi kushindana kuvaa na jitu lililoiona dunia...........jitu linahongwa sarawili na vijambakoti na waarabu!!
Huwezi kushindana na hilo jitu!!
 
silence please!!we are now in a different zone!
 
Mawazo mgando!
Kuzaliwa miaka mingi iliyopita sio kigezo cha yeye kujua zaidi ya wengine, vile vile kuzunguka dunia hakumpi mtu maarifa kama ubongo wake hauna uwezo wa kuelewa!!!
Mawazo kama haya ndio yanayowafanya vijana washindwe kuthubutu kisa wazee waliozaliwa miaka mingi na wamekuwa viongozi miaka mingi hawakuweza kutekeleza vitu flani!!

Be a great thinker....

Mawazo mgando ni yale ya kuponda mtu ambae cv yake inaonesha kuwa ni "leader" kuanzia shule, ooppsss, kuanzia wazee wake. Sasa wewe una japo ka 1% ka cv ya Jakaya? Unanchekesha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom