Picha imenichefua hii!!

Picha imenichefua hii!!

Mh... labda kwa vile we mwanaume ndio maana ilikuchefua?😛hoto:
 
pakua+%25289%2529.jpg


Kwa JK kila kitu kwake ni kigeni na haachi kushangaa!!!!
 
kuna watu wana zali dunia hii!mshkaji rais,kisu kipo na anapendeza!.....haya ndo maisha!
 
teh teh yapendeza zum zum zum we mama... Nyuki wasije mshambulia tu!
 
aghggggggggggggggggg
hajapendeza kiivyo kwani alitokea
pande zipi inawezwkana huko
alionekana kama xmass tree
alikuwa anakenyua na kupunga mkono wa nini/?



kuna watu wana zali dunia hii!mshkaji rais,kisu kipo na anapendeza!.....haya ndo maisha!
 
Back
Top Bottom