Mawazo mgando ni yale ya kuponda mtu ambae cv yake inaonesha kuwa ni "leader" kuanzia shule, ooppsss, kuanzia wazee wake. Sasa wewe una japo ka 1% ka cv ya Jakaya? Unanchekesha!
Hivi wewe haswa, unataka kushindana kuvaa na handsome Kikwete? jitu lililoiona dunia kabla yako? linalozunguka dunia kama kiongozi kabla hujazaliwa? Unanchekesha!
Hivi wewe haswa, unataka kushindana kuvaa na handsome Kikwete? jitu lililoiona dunia kabla yako? linalozunguka dunia kama kiongozi kabla hujazaliwa? Unanchekesha!
Kama ni kuchumia tumbo, wewe sasa umezidi. Shame on you!Mawazo mgando ni yale ya kuponda mtu ambae cv yake inaonesha kuwa ni "leader" kuanzia shule, ooppsss, kuanzia wazee wake. Sasa wewe una japo ka 1% ka cv ya Jakaya? Unanchekesha!
[/QUOTE![]()
Umeisha zoe kumuana kwenye suti mazoea yana tabu hayo ndio mapigo sasa
jibu la mjinga ni kukaa kimya tu..............bibi hebu cheza na wajukuu vijana humu watakupa stress tu.Mawazo mgando ni yale ya kuponda mtu ambae cv yake inaonesha kuwa ni "leader" kuanzia shule, ooppsss, kuanzia wazee wake. Sasa wewe una japo ka 1% ka cv ya Jakaya? Unanchekesha!
Hii nchi ina wahuni wengi sana
Usongo tu uliekuchefuwa na si picha,, picha nzuri na handsome limependeza na nembo yetu pembeni. MashAllah!
Hivi wewe haswa, unataka kushindana kuvaa na handsome Kikwete? jitu lililoiona dunia kabla yako? linalozunguka dunia kama kiongozi kabla hujazaliwa? Unanchekesha!
Natoa Tamko: we ritz uko wapi.. amka haraka uccoment hapa.. acha miuvivu kwanini unamwachia faiza foxy peke yake.. haya haraka.. comment?
Una maanisha nini kusema hii ni nembo yenu?
![]()
Hatumii tumbo mkuu,huyu anatumia masaburi!!Kama ni kuchumia tumbo, wewe sasa umezidi. Shame on you!
][/COLOR]Hivi wewe haswa, unataka kushindana kuvaa na handsome Kikwete? jitu lililoiona dunia kabla yako? linalozunguka dunia kama kiongozi kabla hujazaliwa? Unanchekesha!
Hivi wewe haswa, unataka kushindana kuvaa na handsome Kikwete? jitu lililoiona dunia kabla yako? linalozunguka dunia kama kiongozi kabla hujazaliwa? Unanchekesha!
Usongo tu uliekuchefuwa na si picha,, picha nzuri na handsome limependeza na nembo yetu pembeni. MashAllah!
Huu ni msiba mkubwa kwa JF!!!!K I C H E F U C H E F U ( mara 100............................