Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,281
- 2,423
Yaani eti watu milioni 18 kwahiyo Bugando itakua na zero kabisa.Washamba bhanaDuh....... Mbona ni jirani zaidi kumpeleka mgonjwa Bugando Mwanza ukitokea Geita, kuliko kumpeleka Chato

Ukifika Bugando unaambiwa nenda Chato na hupewi huduma!Niache kwenda Bugando nifunge safari kwenda CHATO?