Picha: Hospitali ya Rufaa ya Chato iliyowekwa jiwe la msingi na Rais Filipe Nyusi. Kuhudumia takriban watu milioni 18 mikoa ya Kanda ya Ziwa

Bk mjini hata stendi ya mkoa wenye watu 3m haipo zaidi ya kichochoro Tu.

Anyway Chato sio mbali na Bukoba kiviile
Bk mkuu pamoja na kua ni mkoa umeshiriki KATIKA harakati za ukombozi ila umesaulika Sana sijui ni KWA nini, lakin sio bk tu naona mikoa mingi ya mipakani umesaulika Sana, badala ya kuifanya kua fulsa KWA nchi jirani
 
Halafu mwisho wa siku utakuta wengi wa manesi, madaktari, madaktari bingwa, wafamasia, wakuu wa vitengo nk. watakaohudumia hiyo hospitali ni kizazi kile kile kutoka kule kule Kaskazini mwa Tanzania (Kilimanjaro na Arusha). Alileta TRA Chato wale jamaa wa Kaskazini wakajaa ofisini, Akapeleka CRDB bado wale wale, akajenga Airport bado wale wale.

Wazee wa fursa wameshatinga chato, wanakwenda na upepo unapovuma, wanavuna pesa za wajinga wajinga Chato na kupeleka Moshi kuzitumbua kila Disemba!
Kwa akili zako unafikiri hauna madaktari bingwa au wakawaida kutoka hilo kabla unalolinanga! Pokea taarifa hii sasa, Wasukuma ni moja ya kabila hapa Tanzania wanaosoma masomo ya Sayansi kwa wingi! Kifupi ni hivi kanda ya ziwa kwa ujumla wanapenda masomo ya Sayansi na wanayatendea haki, Nenda vyuoni nenda makazini kaangalie Madaktari,Mainjinia na Madini yaani Geologists ujiridhishe halafu ndio urudi kupuyanga hapa na maneno yako ya kibaguzi na kikabila, Zama zimebadilika ndg yangu.


Na kanda ya ziwa waliamua kusoma masomo hayo kwasababu ndiko ajira pekee na za wazi zilizokuwa zimeabakia maana kwingine mliajiriana kwa kujuana
 
Hii ni hospitali ya wilaya ila imebadirishwa kuwa ya kanda.

Pia ni makosa kwa sababu hospitali ya kanda ji hospitali ya rufaa ya mkoa iliyoboreshwa lakini geita tayari kuna hospitali ya rufaa ya mkoa wa geita ambayo tayari imejengwa toka mwaka 2016.. kwa nini kuwa na hospitali mbili za rufaa mkoa mmoja ambao haona watu wengi kama dar au mwanza.

Tungeweza ifanya hospitali ya rufaa ya mkoa wa geita ambayo ni mpya kuwa hositali ya kanda kama ilivyo hospitali ya rufaa ya mkoa wa mbeya.

Na baada ya hapo tukajenga hospitali kubwa kanda ya magharibi ambako kumesahauliwa sana mikoa ya rukwa, katavi na kigoma.

Tanzania tuna kanda 7
1. Kanda ya pwani/ mashariki - dar, morogoro, pwani, Tanga

2. Kanda ya nyanda za juu - Iringa, mbeya, songwe na Njombe

3. Kanda ya kusini - mtwara, lindi na ruvuma

4. Kanda ya magharibi - Katavi, rukwa, kigoma na tabora

5. Kanda ya kaskazini - kilimanjaro, arusha, manyara

6. Kanda ya kati - Dodoma, Sindida

7. Kanda ya ziwa- simiyu, Mara, shinyanga, mwanza, geita, kagera
Picha za Hospitali ya Rufaa ya Kanda -Chato mkoani Geita ambayo imewekwa jiwe la msingi na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita leo tarehe 11 Januari 2021.

 
Ata kama ni maamuzi yake kabla ya kujenga ana wataalamu wakumuelewesha criteria za kufanya such an investment.

Hospitali yenye uwezo wa kuhudumia watu 700 kwa siku rural district sio mahala pake kutokana na factor abc za everyday operation requirements.

Kwa ivyo ni swala la education pia kwa upande wake sio kila wish yake apewe; if it’s not practical inabidi aelezwe pia.
Mtaalam gani amshauri?

Mama Gwajima ana mwezi mmoja kazini, anapataje brass balls za kupinga agizo la Rais kwa kigezo cha wataalam wizarani wanasema usijenge hospitali?

Na unajuaje hawajamshauri akakataa ?
 
Mtaalam gani amshauri?

Mama Gwajima ana mwezi mmoja kazini, anapataje brass balls za kupinga agizo la Rais kwa kigezo cha wataalam wizarani wanasema usijenge hospitali?

Na unajuaje hawajamshauri akakataa ?
Gwajima uwezi mtishwa mzigo huo yeye kayakuta.

Ila a referral hospital in Chato won’t work soon as Magu is out of office hadhi ya hospitali inashushwa na atakae mrithi, wangeanza na kumpa ukweli huo. Hard to be believe but that is what is going to happen.

Ndio maana sidhani kama kashauriwa kabisa mfano mdogo tu hospitali ya namna hiyo sio jengo tu bali pia inahitaji kuwa na madaktari bingwa wa kila aina full time, intensive care nurses, a range of other specialists to run the hospital laboratory, technicians to operate and service medical equipment, it needs to operate at least 300 beds capacity to justify operation costs on number of minimum staff required in a referral hospital, there is the need to invest in accommodation for families of services users Chato being a rural area many won’t have extended families or friends to crush for overnight stays, investment to accommodate professionals, ways to motivate staff especially large number of M.D who are not local uwezi kuwapeleka madaktari bingwa vijijini halafu hawana mahala pakutoa stress za kazi na daktari anapokuwa hana motivation madhara yake ni mabaya kwa wagonjwa (many of this ppl have certain expectations on ways to let off steam).

Ukiangalia demands ya madaktari bingwa inayotarajiwa na hii mikakati ya kujenga hospitali za rufaa walau kila kanda Chato is not a priority to receive consultants maana hakuna wakutosha wa kusambaza hadi vijijini kwa sasa.

It is a bad idea hiyo hospitali aiwezi fanya vizuri na wala aitobaki na hiyo hadhi soon as Magu is out of the door. Chato ni mahala pa kuwa na hospitali ya wilaya na wangepewa hiyo ni upendeleo tosha.

Asie amini aje kutafuta hii post sometime in 2026.
 
Maendeleo hayo.....

Hivi unaipanuaje nchi bila ya kufanya hayo?

Hakika UTHUBUTU ndio unaotakikana.

Wananchi wa CHATO nao wanastahili huduma bora ya AFYA.

MAENDELEO HAYANA VYAMA
Unahitakika kukosa kabisa sense ya aibu kichwani kwako hadi kufanya haya au kuyashabikia.
 
Kwa hili nampongeza maana Bugando ilizidiwa watu wa bukoba,geita,kahama,shinyanga wote walikuwa wanakuja Bugando
Bora watatibiwa hapo chato wasije mwanza
 
19066092.jpg
 
Duh....... Mbona ni jirani zaidi kumpeleka mgonjwa Bugando Mwanza ukitokea Geita, kuliko kumpeleka Chato
Wagonjwa wapo Geita tu!? Huduma itaamua nani apelekwe wapi...tunawapeleka Nairobi , India, Ujerumani nk.
Supporting opposition sio lazima kuhoji kila jema... So unadhani walioko Chato, Biharamulo, Kibondo na Kagera in general hawasitahili huduma bora?
 
Bado shopping mall kubwaaa saana, bandari kavu...uwanja wa kimataifa wa michezo yaani Chato Sports Complex...hapo tutakuwa tumemaliza mchezo.
 
Itabidi niwahi chato kutafuta ardhi, ili niwekeze kule.Maana naona kumenoga,bado chato stadium nayo ipo kwenye mpango wa ujenzi.
Mji haujengwi kwa lazima bali hujijenga kwa nguvu za kiuchumi za sehemu husika.

Usijaribu kuwekeza huko; kama una hela bora uwekeze Geita ama Mwanza mjini. Chato bado saana!!
 
Niache kwenda Bugando nifunge safari kwenda CHATO?
Utakwenda tu maana huyo daktari unaeamini anuelewa mzuri wa ugonjwa wako atahamishiwa chato unadhani wanao kwenda India na Israel wote wanapenda kwenda uko ? Weka akiba ya maneno haswa kwenye. Suala la Afya
 
Back
Top Bottom