TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,765
- 4,033
asimdanganye mtoto mdogo kama huyo kwa chips bana!
Watoto siku hizi hawadanganyiki hata kidogo!!
asimdanganye mtoto mdogo kama huyo kwa chips bana!
Na upate ujauzito!!JK: Kula wee binti ukuwe ili kesho uwe na Kiherehere........
2memzoea huyu ndo zake!! juzi alitoka kufukua nyayo za binadamu wa kale!!!
mhhh!..............wametandika mashuka mapya akiondoka wanayatoa...
Akiondoka tu uchafu wa siku zote unarejeshwa!Huu ni uongo pamepambwa utadhani kila siku pako hivyo. Jamani wabongo sasa tutawaita WABONGOLESS.
Mheshimiwa utatulisha wangapi ,hivi hunioni kama nami nina kijiko changu ? Au unajitia upofu ,mtoto anaonekana akimshangaa raisi wake !!